Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Nafikiri JF mkiwa na nia ya kumsaidi hebu mpeni namba za wahusika na Hugo Wa asali anyweje muelekeze mbona mko hivyooo
 
Hornet ndo nani rafiki
 
Me binafsi na ushuuda kwa docta mwaka katika watu nilio kuwa naamini wapigaji ni uyu baba sikuwai Mwamini ata chembe.

Sasa kuna mama angu Mdogo huu mwaka Wa 14 kwenye ndoa hakuwai kupata ata mimba mwaka Jana mwezi 12 akaja dar akaenda kwa mwaka sikutaka mkatisha tamaa maana nimekuwa nikimwombea sana azae basi kamtumia sijui iyo doz mwezi Wa 2 kashika ujauzito mweee mungu uyu mimba ilikuwa na miezi 5 juzi imetoka na kumbe alikuwa na mapacha Wa 4 wakiume 3 wakike 1 navyo andika apa bado yupo hospital maana alipata tatizo la damu kwisha,.

Namuombea sana mungu amjibu ata mwakani awe na mtoto ata kama mmoja. Japo awa mapacha ange zaa aisee ilikua istoria katika familia yetu na ukoo kwa ujumla ila ndo ivyo kazi ya mungu haina makosa
 
Nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama, kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM. Nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
Nimeku PM Mkuu sijui umeipata ningeomba mawasiliano yako pia.
 
Habar zenu wana jamvi naomben msaada wenu mm ni mwanamke nina miaka29 nina miaka miwil sasa kwenye ndoa na sijabahatika kupata mtt nimejaribu kwenda hosptal mbalimbali naanbiwa mara tatzo ni homorn hazijabance mara ya mwisho nilipiga utrasound nikaambiwa nina utandu mweupe kwenye mfuko wa uzazi ndio unaosababisha nichelewe kushika mimba naomben msaada wenu wa mawazo o hata speciality doctor ninaeweza kwenda kumuona nipo kahama.
 
Je uliwahi kutumia njia za uzazi au vidonge? Mana ndo hufanya watu kuchelewa kushika ujauzito anyway Mungu akusaidie upate ujauzito usikate tamaa
 
Dada ni Pm tujipange. Shaka hondoa. Nimekimbia Arusha kila mwanamke nayetembea nae anapata mimba. Kwangu tatizo lako limekwisha. Niko kibaha sasa hv. Kazi ni kwako.
 
Nitafute mimi nikupe dawa ushike mimba.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Uliiwai kutoa mimba?
 
Nisaidieni wataalam, nimekaa na mwanamke mwaka wa nne hata mimba sijampa. Kiukwel naona aibu sana mpaka wananihisi vibaya.

Sielewi tatizo alafu kila siku nafanya naye tendo la ndoa huyu mchumba

Kama nitakuwa mimi tatizo nipeni dawa.
 
Reactions: MC7
Pole kwa hilo aisee nenda hospitali ukatafute nini chanzo cha tatizo ili mtafute suluu na mkeo mshirikishe kila hatua
 
Mkuu muende mkafanye check up wote hospitalini usikimbilie dawa kwanza majibu mtakayopat mtapewa ushaur pia u never knw may b uyo demu wako may anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…