Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hornet ndo nani rafikiPole sana muone mkuu Hornet anaweza kukusaidia, nina ushuhuda wa ndugu yangu baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 10 bila mtoto na alipitia vipimo vingi bila mafanikio, nikaona ushuhuda humu jf mtu akisema dawa hizo zimemsaidia nikamtafuta Hornet na akanipatia dawa kwa njia ya basi maana tuko mikoa tofauti ndugu yangu alifanikiwa kubeba ujauzito na sasa ni mama wa mabinti wawili wachanga, dawa yenyewe hakuna mtu alie iamini maana unachanganya na nyama nundu na maini bila kuweka maji halafu unakula basi. Jaribu mkuu Mungu wetu ni mwema sana atakusaidia tu.
Ni member humu ndani mkuu.Hornet ndo nani rafiki
Nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama, kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM. Nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.Ngoja nimsaidie kumuita Hornet
Nimeku PM Mkuu sijui umeipata ningeomba mawasiliano yako pia.Nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama, kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM. Nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
Pm haijafika bado.Nimeku PM Mkuu sijui umeipata ningeomba mawasiliano yako pia.
Nitafute mimi nikupe dawa ushike mimba.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Habar zenu wana jamvi naomben msaada wenu mm ni mwanamke nina miaka29 nina miaka miwil sasa kwenye ndoa na sijabahatika kupata mtt nimejaribu kwenda hosptal mbalimbali naanbiwa mara tatzo ni homorn hazijabance mara ya mwisho nilipiga utrasound nikaambiwa nina utandu mweupe kwenye mfuko wa uzazi ndio unaosababisha nichelewe kushika mimba naomben msaada wenu wa mawazo o hata speciality doctor ninaeweza kwenda kumuona nipo kahama.
Uliiwai kutoa mimba?Habar zenu wana jamvi naomben msaada wenu mm ni mwanamke nina miaka29 nina miaka miwil sasa kwenye ndoa na sijabahatika kupata mtt nimejaribu kwenda hosptal mbalimbali naanbiwa mara tatzo ni homorn hazijabance mara ya mwisho nilipiga utrasound nikaambiwa nina utandu mweupe kwenye mfuko wa uzazi ndio unaosababisha nichelewe kushika mimba naomben msaada wenu wa mawazo o hata speciality doctor ninaeweza kwenda kumuona nipo kahama.