Anasifika sana huyuKuna Dr. Kapona yuko Chanika Buyuni amesaidia akina mama wengi amabao hawashiki ujauzito. Unaweza kujaribu. Wengine walikuwa na kitu kinaitwa hormonal imbalances. Ila siyo lazima naye awe na tatizo hilo. Jitahidi kumtafuta naye isikie yake.
Habarini za mchana wana jf Nina jambo kidogo nimeona nililete humu naamini nitapata ufumbuzi kupitia michango ya watu mbali mbali Nina jirani yangu ameolewa huu ni mwaka wa tatu sasa hajawah kushika ujauzito wameshaenda hospital yeye na mumewe kufanya vipimo lakin wakaambiwa hakuna tatizo lolote jamani naombeni kama kuna mtu ambae ameshawahi kupata tatizo Kama hili anielekeze aliponea wapi ili nimpe msada huyu jirani yangu au yoyoye anaejua dawa za mitishamb anielekeze pia zinapopatikana au hao watu wanaotibu haya matatizo ili tumsaidie jirani yetu asanteni nawasilisha
Ni kweli mkuu hii nimeishuhudia kwa jirani yetu miaka hiyo, wao waliishi miaka mi5 holaa na kule kijijini hawakwenda kupima, baada ya masimango mengi yule broo akazaa nje yule mwanamke kuona hivyo akasepa zake huko arusha, hadi leo wote wana watoto watano kila mmoja kwenye familia zao mpya.Hayo mambo ukiyapeleka kwenye mitishamba utakuja kuliwa sana pesa maana wengi huwa wanabahatisha dawa ikikubali anajisifia.
Nikupe mfano mmoja kuna shemeji yangu kaka wa mke wangu yeye pia na mke wake walipata huo mtihani kila wakienda hospitali wanaambiwa hawana tatizo.
Mwanamke akaona bora aende kwenye mitishamba huko nako aliishia kuliwa pesa na kupewa ramli chonganishi kuwa mama wa mume wake ndio anayemroga .
Mwisho wa siku ukatokea mgogoro wakaachana, Kwa sababu ni ndoa za kiislamu kila mtu akaenda kuanzisha maisha na mwenza mwingine na hivi ninavyoandika hapa shemeji yangu ana mtoto wa kike mwenye miezi tisa na yule mtaraka wake pia ana mimba wa kujifungua muda wowote .
So sijui hapo solution ilikuwa ni nini lakini baada ya ndoa zao za pili hakuna aliyeenda hospital wala kwa mganga wa kienyeji ila mambo yamejipa yenyewe.
Nitafute mimi nipate kumtibi aili aweze kushika mimba.Mke wangu hashiki ujauzito, nimempeleka hospital mbalimbali lakini wanampima na kumwambia yuko safi na kumpa dawa pia, ila anamtoto mmoja aliwahi kuzaa na baadaye kutumia kipandikizi, lakini ana miaka nane tangu akitoe ila hajawahi kupata ujauzito, ila mimi niko safi sina matatizo
aAcheni kutafuta mtoto tulieni tu, ishini maisha yenu! Atakuja tu kama ajali kazini. Usipanie mtoto sana.
Mwambie amcheck mama Sada wa buguruni ana dawa za kihaya anasaidia wengi au Dr kapona yupo dar ...pole sana
Kuna Dr. Kapona yuko Chanika Buyuni amesaidia akina mama wengi amabao hawashiki ujauzito. Unaweza kujaribu. Wengine walikuwa na kitu kinaitwa hormonal imbalances. Ila siyo lazima naye awe na tatizo hilo. Jitahidi kumtafuta naye isikie yake.
Nenda kwa Dr. Kapona ni mzuri sana 0754 286 125
Nilisha sikia kuhusu huyu dokta yuko vzr Sana.Kuna Dr. Kapona yuko Chanika Buyuni amesaidia akina mama wengi amabao hawashiki ujauzito. Unaweza kujaribu. Wengine walikuwa na kitu kinaitwa hormonal imbalances. Ila siyo lazima naye awe na tatizo hilo. Jitahidi kumtafuta naye isikie yake.
Gharama zake zipo juu kidogo kumuona 30,000 bado vipimo inategemea na tatizo lako so ujipange maaana hatumii bima ya aina yoyote ni cash onlyHuyu doctor nasikia mzuri sanaa na anawasaidia watu wengi sanaa...na gharama zake zipoje hasaa??
Gharama zake zipo juu kidogo kumuona 30,000 bado vipimo inategemea na tatizo lako so ujipange maaana hatumii bima ya aina yoyote ni cash only
yeye kapima hana tatizo na wewe kapime ndo uhakiki huna tatizoMke wangu hashiki ujauzito, nimempeleka hospital mbalimbali lakini wanampima na kumwambia yuko safi na kumpa dawa pia, ila anamtoto mmoja aliwahi kuzaa na baadaye kutumia kipandikizi, lakini ana miaka nane tangu akitoe ila hajawahi kupata ujauzito, ila mimi niko safi sina matatizo
Dr kabanda sisa health centre mwananyamala magengeni, akishindwa huyu basi aende kwa mitishamba.Habarini za mchana wana jf Nina jambo kidogo nimeona nililete humu naamini nitapata ufumbuzi kupitia michango ya watu mbali mbali Nina jirani yangu ameolewa huu ni mwaka wa tatu sasa hajawah kushika ujauzito wameshaenda hospital yeye na mumewe kufanya vipimo lakin wakaambiwa hakuna tatizo lolote jamani naombeni kama kuna mtu ambae ameshawahi kupata tatizo Kama hili anielekeze aliponea wapi ili nimpe msada huyu jirani yangu au yoyoye anaejua dawa za mitishamb anielekeze pia zinapopatikana au hao watu wanaotibu haya matatizo ili tumsaidie jirani yetu asanteni nawasilisha