Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Pole sana dada utapona,amini kama mungu amekusaidia kutimiza ndoto inayootwa kila itwapo leo na wadada weenngi wa JF(kuolewa),bac mungu huyohuyo atakusaidia kupata mtoto.
 
Haina Tabu, Nimeolewa Ndoa Ya Kikrst

Ndoa ni ndoa haina neno, mradi wewe ni Mkristo na mumeo ni Mkristo basi mmefanya jambo la maana.

In sha Allah baadae ntakuandika dawa za kiasili kwenye pm, jaribu mama, inaweza kuwa ndiyo kheri zenyewe.
 
Ila Naanza Kuhisi Kuna Kama Vile Kamzaha Unakafanya Hapa! Uandishi Wako Una Vielementi Vya Kufanya Mzaha Na Kupotezeana Muda Tu. Anyway Mwambie Tu Mume Wako ATAFUTE MKE MWINGINE na Wewe AKUBWAGE. Huo Ndiyo Ushauri Wangu Wa Sasa Kwako Dada!

Omba Mungu yasikukute ww au jamaa yako wa karibu huwezi mdhihaki Dada wa watu Kwa maneno yenye kejeli kiasi hiki na ikibidi mtake radhi haraka
 
Dada pamoja na yote mazuri unayoendelea kushauriwa endelea kujikita kwenye maombi hakika Mungu huyu atasikia kilio chako cha muda mrefu
 
Ndoa ni ndoa haina neno, mradi wewe ni Mkristo na mumeo ni Mkristo basi mmefanya jambo la maana.

In sha Allah baadae ntakuandika dawa za kiasili kwenye pm, jaribu mama, inaweza kuwa ndiyo kheri zenyewe.

Ntashukuru Sana Jaman
 
Nilikuwa namaanisha kwamba, kwa wale wanawake ambao upataji wao wa mimba ni wa kuchechemea kwa sababu ya msongo wa mawazo, wakitumia pombe kidogo inawasaidia kupata utulivu na kuwaongezea kiwango cha ashki, na kama yuko kwenye siku za hatari, basi nirahisi kupata mimba.

Tafiti nyingi zinaonyesha kwamba hata kama mwanamke yuko kwenye siku zake za hatari si rahisi kupata mimba akishiriki tendo la kujamiiana iwapo atakuwa na msongo wa mawazo.

Kudevela kidogo na vijichupa viwili cha bia au glasi ya mvinyo (wine) itasababisha mwanamke kupata utulivu wa mawazo na kama akiwa kwenye siku same za hatari kisha ashiriki tendo la kujamiiana.. Mimba hiyooo yaja!

Mbona wanawake wengi wakibakwa wanashika mimba wakati huo hawapo psychological comfort
 
Mi naomba kujuzwa kuhusu mbegu za kiume au shahawa, je zenye ubora au zenye sifa ya kuweza kumpa mwanamke mimba zikoje au zina sifa gani, nawasilisha.
 
Ok, kwa kifupi ni hivi, mbegu bora huwezi kuziangalia kwa Macho tu ukajua kuwa hixi ni mbegu bora au siyo.

Kinachotakiwa kufanywa ni kupitia katika Uchunguzi uitwao Semen Analysis ndipo watakapojua kuwa unambegu bora au la.

Kwanza tunaangalia Ujazo wa wa fluid unayoitoa ukiwa una ejaculate. Hiki ndo kitu cha kwanza, kawaida kuanzia 3.5mls mpaka 5mls ni normal.

Pili, tunaangalia rangi ya fluid uliyotoa na normal semen ina Rangi ya Umaziwa na pia Unjano kwa mbali. Ila kama fluid ni njano au kijani kuna uwezekano mkubwa wa matatizo katika uzazi hasa infection mfano magonjwa ya zinaa hasa Gonorrhea

Tatu, sasa huku ndipo kuna Technical issues ambapo tunafanya Semen Analysis kwa kuangalia Morphology au Umbo la Sperm moja moja na Jinsi gani Zinavyotembea (motility) pia na idadi (cell count)

Mbegu nzuri zinaonaekana kwa jinsi zinavyokuwa na shepu ya sperm yenyewe na pima zinavyoswim kwa uharaka na Straight forward si kuzunguka sehemu moja.

Kuna mambo mengi ya kitaalamu ni mpaka uingie darasani kidogo hapa sidhani kama tutaelewana.

Ila Cha Msingi ni nenda kapime kipimo cha Semen Analysis. Na kipimo hiki kinahitaji maandalizi ambayo daktari atakuambia.

But few ni haya
1. Unatakiwa usifanye Mapenzi kwa mda wa siku 3 mpaka tano kuupa mwili mda wa kutengeneza mbegu

2. Unapotoa Hiki kipimo hakikisha upo maeneo ya hospital ili kuwahisha kipimo hicho maabara ili kupata majibu sahihi zaidi kuliko kuchelewa Na kusababisha sperm kufa.

3. Unapotoa hiki kipimo jua unaenda kupiga punyeto kwahiyo mujiandae kisaikolojia.

N.k n.k
 
Mkuu kwenye number tatu. Nakimbuka mara ya mwisho nilitoa kwa kudo na mwanamke then nikachomoa kabla ya kumwaga ndani je ni sahi au kuna uwezekano nyingine zilitoka kabla!? Mbili niliambiwa sperm count ipo less na baadhi hazina mikia hapo inakuwaje!? Na je, solution nini nini!?
 
Mkuu kwenye number tatu nakimbuka mara ya mwisho nilitoa kwa kudo na mwanamke then nikachomoa kabla ya kumwaga ndani je ni sahii!? au kuna uwezekano nyingine zilitoka kabla!? mbili niliambiwa sperm count ipo less na baadhi hazina mikia hapo inakuwaje!? Na je, solution nini nini!?

Huwa Hatupendekezi sana Kudo then ndo ulete Sperm ingawa huwa Recommended kulingana na Mgonjwa anatakaje na daktari wake wameelewana vipi ila mimi sishauri hivyo kwa sababu zifuatazo. Kwanza Sample kwa ajili ya Kufanya Semen Analysis inatakiwa ifike Maabara Lisaa kimoja au less baada ya mgonjwa ku-ejaculate sperm zinapokaa mda mrefu zinakufa na zinachoka kuswim unapoangalia kwenye darubini unaweza ukampa mgonjwa majibu ambayo si sahihi kisa sample imechelewa kuletwa na Pia mazingira ilipochukuliwa si sahihi.

Pili. Sample lazima iwekwe kwenye room temperature nzuri hasa 21-24c. Hii temperature inapatikana hasa Eneo la hospital tofauti na unapokuwa Nyumbani

Wengine hutumia Condom kukusanya Semen ila kuna kondom zina Ant sperm Chemicals ili kuua sperms na zipo ambazo hazina. Utapata info zaidi ukienda Pharmacy sasa Unayetumia hizo kondom hujui chochote.

Swala la Less sperm Count pamoja na Sperm kutokuwa na Mikia linasababushwa na Mambo mengi.. ila Kama Ulifanya Semen Analysis peke yake nakushauri nenda kafanye Vipimo vingine zaidi kama Hormones za FSH,Testosterone n.k kulingana na Utakavyomuelezea daktari na yeye atarecommend vipimo gani pia.

Treatment inategemea Majibu ya Vipimo vyote yamekujaje. Suala la infertility ni gumu na mengine hayana Dawa na linapopatikana ambalo halina dawa inabidi tu muongee na Mkeo muweze kuchugua Donor sperm au ku adopt mtoto.
 
Shukran sana mkuu. Ntaenda kumuona mtaalam wa maswala ya uzazi.
 
Ok, kwa kifupi ni hivi, mbegu bora huwezi kuziangalia kwa Macho tu ukajua kuwa hixi ni mbegu bora au siyo.

Kinachotakiwa kufanywa ni kupitia katika Uchunguzi uitwao Semen Analysis ndipo watakapojua kuwa unambegu bora au la.

Kwanza tunaangalia Ujazo wa wa fluid unayoitoa ukiwa una ejaculate. Hiki ndo kitu cha kwanza, kawaida kuanzia 3.5mls mpaka 5mls ni normal.

Pili, tunaangalia rangi ya fluid uliyotoa na normal semen ina Rangi ya Umaziwa na pia Unjano kwa mbali. Ila kama fluid ni njano au kijani kuna uwezekano mkubwa wa matatizo katika uzazi hasa infection mfano magonjwa ya zinaa hasa Gonorrhea

Tatu, sasa huku ndipo kuna Technical issues ambapo tunafanya Semen Analysis kwa kuangalia Morphology au Umbo la Sperm moja moja na Jinsi gani Zinavyotembea (motility) pia na idadi (cell count)

Mbegu nzuri zinaonaekana kwa jinsi zinavyokuwa na shepu ya sperm yenyewe na pima zinavyoswim kwa uharaka na Straight forward si kuzunguka sehemu moja.

Kuna mambo mengi ya kitaalamu ni mpaka uingie darasani kidogo hapa sidhani kama tutaelewana.

Ila Cha Msingi ni nenda kapime kipimo cha Semen Analysis. Na kipimo hiki kinahitaji maandalizi ambayo daktari atakuambia.

But few ni haya
1. Unatakiwa usifanye Mapenzi kwa mda wa siku 3 mpaka tano kuupa mwili mda wa kutengeneza mbegu

2. Unapotoa Hiki kipimo hakikisha upo maeneo ya hospital ili kuwahisha kipimo hicho maabara ili kupata majibu sahihi zaidi kuliko kuchelewa Na kusababisha sperm kufa.

3. Unapotoa hiki kipimo jua unaenda kupiga punyeto kwahiyo mujiandae kisaikolojia.

N.k n.k

Asante sana mkuu kwa majibu yako muruwa, mungu akubariki.
 
Huwezi kuziona sperm zilizo bora kwa macho,, lakini rangi yake inaweza kukupa muelekeo fulani.. ili ujue ubora wa shahawa zako ni lazima uende hosp kwaajili ya vipimo.

Mara nyingi vipimo vina base ktk Quantinty, Motility, na Quality. Vipi mkuu una tatizo kwani?
 
Mkuu Guevara mi nilitaka kujua tu kama kuna uwezekano wa kujua we mwenyewe tu, kabla ya kwenda kwenye vipimo.kama unaweza kujua nisaidie mkuu, nitashukuru sana, maana nataka pia nikwepe gharama kwanza, ikitokea iwe baadae, shukrani.
 
Huwezi Maaana kuna Wanaume Wanapiz kabisa wanajiona wapo Fit ila Ukiangalia kwa Vipimo unakuta wanapiz ila ndani Ya semen hakuna Mbegu kabisa, wanapiz fluid tu
 
Back
Top Bottom