kajani1990
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 225
- 101
Nendeni hospitali yawezekana mke ana shida au ww unatoa mbegu zisizo n
mikia au hazina vichwa
mikia au hazina vichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbegu zako bado changa kijana..
Ulioa ukiwa na miaka 20..!!
Oohoki mkewe atakuja lalamika humu,mumewe kila siku kifo cha mende, mchicha achumi.Kila siku unamfanya, huachi mbegu zikakua, zikashiba
wewe daily, mchicha ukichipua umeung'oa.
Kaka hebu kaa nae wee2 hujagusa mpaka siku zake za hatari, ukigusa kitu ndani ya box..
alafu punguza kumgeuza geuza kama chapati
Da ama kwa hakika Mungu ndio msemaji wa mwisho maana nina ushihuda huo pia.Na nimempata mtoto kwa kufunga sana na kuomba yani hiyo imekua my life na sikuwa tena nawaza chochote bali nilikua naamini tu basi huez amin ikaja bila kujua hata kupanga.Da kweli huyu Mungu mwacheni.Maana hata hospitali sikuwahi kuwaza kwenda .Pole sana. Hii huwa inatokeaga mpaka miaka 10 bila ujauzito. Na unaweza pata mapacha watatu kufidia muda uliopita bila mategemeo. Kinachotakiwa ni uvumilivu pamoja na maombi (kufunga).
Toa mawazo machafu ya kuchepuka, hilo nijaribu katika Mapito ya ndoa yenu. Kipindi hicho kigumu pata ushauri wa daktari, Rafiki yenu Mkuu Awe biblia/ msaafu.
.
Hii ni comment bora kabisa katika sekta ya mapenzi kipengele ya afya ya ngono...Kila siku unamfanya huachi mbegu zikakua, zikashiba wewe daily, mchicha ukichipua umeung'oa.
Kaka hebu kaa nae wee2 hujagusa mpaka siku zake za hatari, ukigusa kitu ndani ya box alafu punguza kumgeuza geuza kama chapati
HospitalinIsee pole sana, hiyo yakujua uko safi ulipata wap?
Asante kwa ushauri mkuuHayo mambo ukiyapeleka kwenye mitishamba utakuja kuliwa sana pesa maana wengi huwa wanabahatisha dawa ikikubali anajisifia.
Nikupe mfano mmoja kuna shemeji yangu kaka wa mke wangu yeye pia na mke wake walipata huo mtihani kila wakienda hospitali wanaambiwa hawana tatizo.
Mwanamke akaona bora aende kwenye mitishamba huko nako aliishia kuliwa pesa na kupewa ramli chonganishi kuwa mama wa mume wake ndio anayemroga .
Mwisho wa siku ukatokea mgogoro wakaachana, Kwa sababu ni ndoa za kiislamu kila mtu akaenda kuanzisha maisha na mwenza mwingine na hivi ninavyoandika hapa shemeji yangu ana mtoto wa kike mwenye miezi tisa na yule mtaraka wake pia ana mimba wa kujifungua muda wowote .
So sijui hapo solution ilikuwa ni nini lakini baada ya ndoa zao za pili hakuna aliyeenda hospital wala kwa mganga wa kienyeji ila mambo yamejipa yenyewe.