ubongo ili ufikie level ya juu ya performance unahitaji pamoja na mengine mzunguko mzuri wa damu,wakati huo mfumo wa kusaga chakula hasa katika hatua za awali unahitaji damu ya kutosha! Sasa basi mijamaa minene(niliwahi kuwa na figure ya Sean Kingstone wakati fulani) huwa kuna mgawanyo usio lingana wa matumizi ya damu kati ya ubongo na utumbo ambapo utumbo unatake advantage ya kuwa chini(gravitation) na kufaidi zaidi huku ubongo ukiambulia kiasi kwa ajili ya kujilinda tu! Kwa wanaopata lunch na kurudi ofisini mna uzofu kwenye hili,yaani baada ya msosi unasikia kama ka uzingizi fulani. Kwa mijamaa minene kama Mh. Ko#**ba kukaa full shibe ni kawaida! Unategemea bongo hizo zitafanya maamuzi gani.
(source:mimi ni mwamfunzi wa fV nachukua CBG hivyo unaweza kunikosoa tu)