PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Yaaani pale nyuma vimejaa vimbilikimo alafu vinaongozwa na li ngongoti hata kuruka haliwezi, kwanini msile kichapo tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uzi nilikuuliza nini maana ya Potential/Key Player, bila shaka leo hii ndiyo umejiona jinsi gani ulivyo mweupe kabisa katika soka.
Nilikuambia nipe nafasi nisherehekee hii Diwali kwanza then tutakaa kujadili hilo swala baadayeKuna uzi nilikuuliza nini maana ya Potential/Key Player, bila shaka leo hii ndiyo umejiona jinsi gani ulivyo mweupe kabisa katika soka.
Mechi alizokosekana Aucho NBC PL Yanga ilipata wakati mgumu sana kushinda.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huyo Aziz K ni Taahira yupi alimshauri awe anakunja kaptura hivyo?
Leo vimekua vi mbilikimo?Yaaani pale nyuma vimejaa vimbilikimo alafu vinaongozwa na li ngongoti hata kuruka haliwezi, kwanini msile kichapo tu!
Unasheherekeaje ilihali bado second final haijachezwa?Nilikuambia nipe nafasi nisherehekee hii Diwali kwanza then tutakaa kujadili hilo swala baadaye
Nani kakuambia watajiamini?Huyo Azizi Ke ni Taahira yupi alimshauri awe anakunja kaptura hivyo?
03/06/2023 Waarabu watafungwa 2-0 sababu watajiamini kupita kiasi kwa mechi waliyoshinda awali ugenini, sawa na makosa waliyofanya Mamelody Sundowns kwa Widad Casablanca.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mwarabu yupi unamzungumzia , au unamansha mwalabu wa KAYENZEHuyo Azizi Ke ni Taahira yupi alimshauri awe anakunja kaptura hivyo?
03/06/2023 Waarabu watafungwa 2-0 sababu watajiamini kupita kiasi kwa mechi waliyoshinda awali ugenini, sawa na makosa waliyofanya Mamelody Sundowns kwa Widad Casablanca.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
We ungeshinda leo, ungesubiri second leg ndio ufurahi?Unasheherekeaje ilihali bado second final haijachezwa?
Kwanini huwa hamna akiba za maneno kabisa ninyi Makolokolo?
Au mpira mmeuasisi ninyi hata msiuheshimu?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hata akicheza juu ya kiwango kama hana bahati matokeo yatakuwa mazuri sana tu kwa Yanga.Mwarabu yupi unamzungumzia , au unamansha mwalabu wa KAYENZE
Nifatilie mimi huwa siingii mpirani kimahaba, lazima niwe na akili kubalansi maneno.We ungeshinda leo, ungesubiri second leg ndio ufurahi?
Wakati kila mtu leo alisema ushindi wowote una thamani?
Hii kwangu ina maana kubwa sana, kwanza inanitosha.
Opponent wa mwarabu ktk game ya marudio ni kivuli chake mwenyewHata akicheza juu ya kiwango kama hana bahati matokeo yatakuwa mazuri sana tu kwa Yanga.
Umeshasahau UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL Chelsea FC vs Man City 2021, timu ipi ilicheza vizuri zaidi, na matokeo yalikuwaje?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa hapa umeondoka eneo la ubora umeamia kwenye bahati (abracadabra)Hata akicheza juu ya kiwango kama hana bahati matokeo yatakuwa mazuri sana tu kwa Yanga.
Umeshasahau UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL Chelsea FC vs Man City 2021, timu ipi ilicheza vizuri zaidi, na matokeo yalikuwaje?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unachukia caution kabla ya kuanza Polimilai?Nifatilie mimi huwa siingii mpirani kimahaba, lazima niwe na akili kubalansi maneno.
Kwanini nisisubirie ilihali wapo walioweka fainali za hone na away 2?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kama Kibwana Shomari kafupi kama tairi ya bajaji.Yaaani pale nyuma vimejaa vimbilikimo alafu vinaongozwa na li ngongoti hata kuruka haliwezi, kwanini msile kichapo tu!
Ambatanisha hapa kumbukumbu zangu lini nilikushambulia kuwa tuna timu bora kuliko Simba.Sasa hapa umeondoka eneo la ubora umeamia kwenye bahati (abracadabra)
Sasa kwanini mnatupigia kelele kuwa mna timu nzuri wakati matokeo mnayapata kwa bahati na sibj?
Lazima umsifie anayekukimbiza na kuwa na tahadhari naye maana hajafika hapo kwa bahati mbaya.Unachukia caution kabla ya kuanza Polimilai?
Sio wewe Mkuu ila most walikuwa wanatoa kauli hiyoAmbatanisha hapa kumbukumbu zangu lini nilikushambulia kuwa tuna timu bora kuliko Simba.
Hata hivyo, lini Shabiki aliwahi kukiri timu yake ina madhaifu baada ya kushinda?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app