Tatizo la Yanga ni vibeki vimbilikimo, alafu wakaweka lingongoti la kuzugia

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
392
Reaction score
798
Yaaani pale nyuma vimejaa vimbilikimo alafu vinaongozwa na li ngongoti hata kuruka haliwezi, kwanini msile kichapo tu!
 
Screenshot_20230528-190310.png
 
Kuna uzi nilikuuliza nini maana ya Potential/Key Player, bila shaka leo hii ndiyo umejiona jinsi gani ulivyo mweupe kabisa katika soka.

Mechi alizokosekana Aucho NBC PL Yanga ilipata wakati mgumu sana kushinda.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nilikuambia nipe nafasi nisherehekee hii Diwali kwanza then tutakaa kujadili hilo swala baadaye
 
Huyo Azizi Ke ni Taahira yupi alimshauri awe anakunja kaptura hivyo?

03/06/2023 Waarabu watafungwa 2-0 sababu watajiamini kupita kiasi kwa mechi waliyoshinda awali ugenini, sawa na makosa waliyofanya Mamelody Sundowns kwa Widad Casablanca.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nani kakuambia watajiamini?

Usitengeneze matumaini hewa kwa kumtabiria mpinzani acheze chini ya kiwango
 
Huyo Azizi Ke ni Taahira yupi alimshauri awe anakunja kaptura hivyo?

03/06/2023 Waarabu watafungwa 2-0 sababu watajiamini kupita kiasi kwa mechi waliyoshinda awali ugenini, sawa na makosa waliyofanya Mamelody Sundowns kwa Widad Casablanca.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mwarabu yupi unamzungumzia , au unamansha mwalabu wa KAYENZE
 
Unasheherekeaje ilihali bado second final haijachezwa?

Kwanini huwa hamna akiba za maneno kabisa ninyi Makolokolo?

Au mpira mmeuasisi ninyi hata msiuheshimu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
We ungeshinda leo, ungesubiri second leg ndio ufurahi?

Wakati kila mtu leo alisema ushindi wowote una thamani?

Hii kwangu ina maana kubwa sana, kwanza inanitosha.
 
Nifatilie mimi huwa siingii mpirani kimahaba, lazima niwe na akili kubalansi maneno.
Kwanini nisisubirie ilihali wapo walioweka fainali za hone na away 2?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hata akicheza juu ya kiwango kama hana bahati matokeo yatakuwa mazuri sana tu kwa Yanga.

Umeshasahau UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL Chelsea FC vs Man City 2021, timu ipi ilicheza vizuri zaidi, na matokeo yalikuwaje?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa hapa umeondoka eneo la ubora umeamia kwenye bahati (abracadabra)

Sasa kwanini mnatupigia kelele kuwa mna timu nzuri wakati matokeo mnayapata kwa bahati na sibj?
 
Ambatanisha hapa kumbukumbu zangu lini nilikushambulia kuwa tuna timu bora kuliko Simba.

Hata hivyo, lini Shabiki aliwahi kukiri timu yake ina madhaifu baada ya kushinda?

Back
Top Bottom