tatizo lakukatika ulimi

gody5m

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
111
Reaction score
65
habari nduguz,

nna tatizo moja ambalo huwa haliishi kwa mda mrefu sasa
mara nyingi ulimi wangu unakua kama unakatika yaani kuonyesha alama kama za mikatiko
naomba kujua ni ugonjwa wa aina gani? na naweza vip kuondokana nao na kama ni upungufu wa madini
fulan nijuzwe ili jambo hili lisiendelee najisikia vibaya sana kwan wakati mwingine unauma kidogo.
 
Pole sana ndugu! ulimi haukati ila michiri yake huonekana zaidi , hii hali kwa lugha ya dr huitwa FISSURES. na hii hutokana na ukosefu wa vitamini A mwilini. hivyo inakubidi kula vyakula vyenye vit A kama vile maziwa, mayai (kiini cha yai), maini, siagi, nk.:thinking:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…