Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuPole mkuu, najua usipopata mtoto huwa inasumbua na hii inatufundisha wengine tuliopata upendeleo bila juhudi zetu tumshukuru Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia unga wa mlonge unasaidia kuongeza wingi wa mbegu mkuu,Habari za majukumu wanaJf Dokta
Mim nipo kwa ndoa kwa miaka 2 lakni sijampa mke wangu mimba Ila nilpoenda hospital ya rufaa nikapma mbegu majbu yalitoka hivi aslimia53 zinajongea hovyohovyo na 7% ndo zinajongea vizur na 40% ziko non-motile .nn nifanye wadau
Poa mkuuPole mkuu,
Tumia unga wa mlonge unasaidia kuongeza wingi wa mbegu mkuu,
Poa mkuuuPole mkuu,
Tumia unga wa mlonge unasaidia kuongeza wingi wa mbegu mkuu,