Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
shule nimepiga chini
ili upate muda wa kufuatilia wasichana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shule nimepiga chini
kaogeee maji ya bahar mdogo wangu, jipange vizur na pangilia swaga zako fresh utawavutia tu
hahaa, angalia asije akajitumbukiza jumla baharini.
shule nimepiga chini
kwanini umepiga shule chini? mdogo wangu sasa unafanya nini kwa sasa?? usihofu hauna kasoro mwaya kuna msema unasemaga kwa kingerenza MAN UP and be bold/kuwa jasiri,, kama umevutiwa na mdada anza kumsalimia hata akikuchunia usikate tamaa we msalimie tena na tena,, then anzisha na nyumbani wazima?? wasalimie ukifika etc anzisha urafiki nae bila kuonesha malengo ya kumtamani kimwili ukiona anaelekea basi ndo umchomekee itakua rahisi that way sawa eehh mdogo wangu,,, ila nakusihi kama unaweza endeleza shule ni muhimu kwa zama hizi tunazoishi sasa..... Good luck
Jiendeleze na masomo kwanza ndugu yangu......:baby::baby:
Nayeye anafight amfikishe mtu kileleni kama unavyofika wewe!