kwanini umepiga shule chini? mdogo wangu sasa unafanya nini kwa sasa?? usihofu hauna kasoro mwaya kuna msema unasemaga kwa kingerenza MAN UP and be bold/kuwa jasiri,, kama umevutiwa na mdada anza kumsalimia hata akikuchunia usikate tamaa we msalimie tena na tena,, then anzisha na nyumbani wazima?? wasalimie ukifika etc anzisha urafiki nae bila kuonesha malengo ya kumtamani kimwili ukiona anaelekea basi ndo umchomekee itakua rahisi that way sawa eehh mdogo wangu,,, ila nakusihi kama unaweza endeleza shule ni muhimu kwa zama hizi tunazoishi sasa..... Good luck