Tatizo langu nini?

Tatizo langu nini?

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,363
Reaction score
1,431
Kwa takribani miezi sita sasa pesa nyingi imepita mkononi mwangu takribani five mill.mbali namshaara wangu wa tsh 275000 as take home. Lakini nmejikuta nina hamu ya kufanikiwa zaidi ila tatizo langu nina huruma kupita kiasi yaani mtu akinisimulia matatizo yake tu usku siwezi lala mpaka nashiriki kwa sehemu kwenye tatzo lake ! Sasa rafki zangu na ndg wanatumia huruma yangu kunikamua yaani mala nyingi i face Explassing problem?? Jamani hvi nina tatzo au ndo na wengine inatokea kwenu?? Je niwe na taraja kuwa ipo sku ntatoka kimaisha japo practically kila nachokpata kinatumika ........ Naombeni ushauri wana JF.
 
Kuja sura mkuu! think of being selective by just peaking those who are heartly&bloodly related to you.
Siri ya mafanikio ni kuwa bahiri, leo watakufanya benki lakn once ukiyumba ndio wa kwanza haohao kukutenga + majungu.
Wengi waliofanikiwa wamechagua option hii.
 
Kwa takribani miezi sita sasa pesa nyingi imepita mkononi mwangu takribani five mill.mbali namshaara wangu wa tsh 275000 as take home. Lakini nmejikuta nina hamu ya kufanikiwa zaidi ila tatizo langu nina huruma kupita kiasi yaani mtu akinisimulia matatizo yake tu usku siwezi lala mpaka nashiriki kwa sehemu kwenye tatzo lake ! Sasa rafki zangu na ndg wanatumia huruma yangu kunikamua yaani mala nyingi i face Explassing problem?? Jamani hvi nina tatzo au ndo na wengine inatokea kwenu?? Je niwe na taraja kuwa ipo sku ntatoka kimaisha japo practically kila nachokpata kinatumika ........ Naombeni ushauri wana JF.

Haaa haaa .... usimuangalie nyani usoni
 
Kuna usemi wa kizungu nadhani tafsiri yake ni kama "Ukitaka kusaidia masikini 9, una hatari ya kutengeneza masikini wa 10 ambaye ni wewe."
 
Ndg haya mambo yanachanzo chake na umakini mkubwa unatakiwa.Wewe utakuwa na mzigo wa kuubeba kwa hao ndg zako ktk kile anachopitisha Mungu mikononi mwako,lkn wao wanasehemu yao na wewe unayo yako kwa ajili ya mahitaji yako,tafuta kujifunza mambo ya mzaliwa wa kwanza itakusaidia.
 
Kuna usemi wa kizungu nadhani tafsiri yake ni kama "Ukitaka kusaidia masikini 9, una hatari ya kutengeneza masikini wa 10 ambaye ni wewe."

Hii imetulia mkuu, thumb up.
 
Ndg haya mambo yanachanzo chake na umakini mkubwa unatakiwa.Wewe utakuwa na mzigo wa kuubeba kwa hao ndg zako ktk kile anachopitisha Mungu mikononi mwako,lkn wao wanasehemu yao na wewe unayo yako kwa ajili ya mahitaji yako,tafuta kujifunza mambo ya mzaliwa wa kwanza itakusaidia.

Kwa kiasi Fulani Nina tatizo Kama la mtoa mada! Kuwa mzaliwa wa kwanza kuna msukumo mkubwa sana wa majukumu ila najitahidi kuweka vipaumbele vyangu kwanza.
 
Ndugu yangu ningekuwa kwenye nafasi yako ningemshukuru sana Mwenyezi Mungu unajua kuna siri fulani duniani kila binadamu amepewa kipawa chake watu wanapokuja kwako siyo coincidence kwa nini hawajaenda kwa mtu mwingine au unadhani kuna watu hawana pesa kusaidia ni kipawa ambacho si kila mtu anacho.Pili lazima ujue kuna watu wengi wakiwemo ndugu zako wanamwoma Mungu awatatulie matatizo yao yakiwemo ya kipesa.Mungu hawezi kushusha pesa Kutoka juu.Kwa kawaida anawatumia watu wakiwemo wewe.Mtu anapotoa kwa kawaida anajiwekea hazina yake.Jiulize hapo ulipo kwa nini haujawahi kulala na njaa?kila siku pesa ipo hata kama ndogo kwa kifupi hauna matatizo madogo madogo...swali anza kujiuliza kutoka hapo...watu wote wanaotoa kamwe hawatakufa masikini...Pili watu wengi wamekuwa wanalilia utajiri lakini hawajui tajiri ni nani?Tajiri ni yule ambaye hata mahitaji...Masikini ni yule ambaye hata akiwa na milioni mia ila bado anahitaji zaidi na still roho yake hairidhiki..na hata siku itafika anakufa na still pesa zipo ndani

Ukitazama deep kwenye ulimwengu wa kiroho utaona kuwa lengo la mwenye Mungu watu wote waishi kwa amani bila matatizo na huwapa utajiri watu ambao lengo lao kugawa kwa watu wengine hawa watu kwa kawaida ni matajiri wa kweli ukiangalia mfano mzuri matajiri wakubwa duniani wengi wao wanatoa sana na kila siku wanazidishiwa ni kwa sababu wanatimiza lengo la Mwenyezi Mungu

Bahati mbaya si wote wenye kipawa kama chako ..ila kwa kifupi ndugu yangu wewe hauna matatizo yoyote ila Mwenyezi Mungu anakutumia katika kazi zake na vitabu vya Mungu vinasema wenye bahati wale ambao Mwenyezi Mungu anawatumia kwenye kazi zake

Chunguza kwa Makini watu wengi ambao wabinafsi kwenye maisha,na wale wanaoweka vipaumbele vyao kwanza basi siku zote ni masikini,siku zote wanahangaika kutafuta na wanachokipata huisha basi ndo maisha yao ya kila siku

Mchana mwema
 
Back
Top Bottom