Kwa takribani miezi sita sasa pesa nyingi imepita mkononi mwangu takribani five mill.mbali namshaara wangu wa tsh 275000 as take home. Lakini nmejikuta nina hamu ya kufanikiwa zaidi ila tatizo langu nina huruma kupita kiasi yaani mtu akinisimulia matatizo yake tu usku siwezi lala mpaka nashiriki kwa sehemu kwenye tatzo lake ! Sasa rafki zangu na ndg wanatumia huruma yangu kunikamua yaani mala nyingi i face Explassing problem?? Jamani hvi nina tatzo au ndo na wengine inatokea kwenu?? Je niwe na taraja kuwa ipo sku ntatoka kimaisha japo practically kila nachokpata kinatumika ........ Naombeni ushauri wana JF.