Mayo clinic
Member
- Sep 1, 2022
- 23
- 22
Nisaidieni wadau
Rav4 hii iliendeshwa na learner ikaingia mahali ikaatamia kifua (sijui wenyewe wanaita hivyo). Dereva akawa analazimisha kuitoa kwa kukandamiza sana mafuta ikashindikana.
Ilipovutwa pale, ikawa sasa haina uwezo tena wa kupanda milima. Mafundi wetu hawa wakasema ni control box imeungua, tukaweka nyingine lakini bado tu. Mafundi wa Mbeya wamekwama.
Nisaidieni, yaweza kuwa tatizo nini hapo? Engine yake ni 1az.