Tatizo laweza kuwa lipi kwa hii RAV4 kili time?

Mkuu, at least umechukua muda wako kuandika vizuri kabisa kwa urefu mzuri..namie niongezee kamsisitizo..... clutch zina hold friction ili ku transmit engine power to wheels, so gari ikikwama ukatumia nguvu una over heat clutches because of grinding friction on facing surfaces za clutches...so zile friction materials zinazokua kwenye clutch hujisuguana mpaka zinaisha na hivo Kushi ndwa kuhold tight as required kuweza ku transmit all power available from torque converter (or engine), hii inafanya power loss iwe kubwa...hii kitu si kwa gari automatic tuu hata manual..tena manual unasikia mpaka harufu ya burning clutches hata tu ukiingiza gear vibaya au kama clutch pedal huitumii vizuri...na hata ukiwa una accelerate very aggressive utasikia harufu ya vitu kuungua kutoka uvunguni mwa gari, that is smell from burning clutches.

So wapendwa be careful na transmission zenu.. avoid unnecessary aggressive driving, mara unafanya drifting kwa gari ambayo not designed for sport..
Au una umekwama mahala unakanyaga mafuta tairi inazunguka mpaka gari inakalia kifua wewe umo tu bila kujua una shorten life ya gear box na kusababisha premature failures za transmission system.

Na kwa watu wenye gari zenye CVT transmission ndo haswa wapo more exposed to this risk ya premature failure ya transmission system kama zikiwa mis-used.
Mkuu tahadhari nzuri sana umetoa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini shida inakuwa zaidi mlimani?
 
Mkendo ndo kb?nisaidie namba ya fundi wa mkendo kama unayo mkuu
mkendo ipo karibu na kituo cha mafuta cha soweto infinity (zamani ilikuwa oilcom) ukifika soweto tu ukiulizia wanakuonyesha,,, namba zao sina ila ni garage ipo pembeni ya barabara ya soweto
 
Mkuu ulitaka nimjibuje?

We unadhani kwani auto gearbox wanakataza kurev sana hasa gari ikiwa kwenye gear?

Unafikiri kitu gani unaharibu?

Moja ya sababu kuu ambayo inaharibu hizo gearbox za Auto ni Overheating.

Every time gear inapoengage au kutoka kuna amount kubwa sana ya joto inazalishwa.

Sasa the worst snerio ni kama gari iko kwenye gear unarev halafu tairi hazizunguki. Hapa mzee kuna clutch pack kadhaa lazima raba zife sababu ya joto.

Pia lazima clutch plates zisagike na baada ya muda zitakuwa hazina uwezo wa kushika vizuri tena.

I wish ungekuwa unafahamu how thin clutch plates za automatic gearbox huwa zinakuwa.

Labda nikutolee mfano kwenye forward clutch assembly ya automatic gearbox ya Harrier u141e.

Clearance ambayo clutch plates na backing plates kwa ajili ya zinakuwa nayo kwa ajili ya kubana na kuachia ni just between 0.6mm mpaka 1mm

Anything below 0.6mm huna gearbox.

Haya Bongo hii unapata wapi spare parts mpya za Automatic gearbox?

Online huwa zipo overhaul kit za gearbox.

Nimechoka kuandika mambo ni mengi.
Dah basi me sijui magari. Nimesusa. Sio kwa madini haya kiwango hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkendo ipo karibu na kituo cha mafuta cha soweto infinity (zamani ilikuwa oilcom) ukifika soweto tu ukiulizia wanakuonyesha,,, namba zao sina ila ni garage ipo pembeni ya barabara ya soweto
Asante sana mkuu
 
Tatizo huku Mbeya,naona mashine ni kama bado hawajazielewa vizuri kuzitafsiri.kama kuna mwenyeji wa Mbeya mjini anisaidie mtaalam mzuri
Mzee kuna.sehemu.hapo.mbeya garage inaitwa Kiki Garage fika garage hapo kuna jamaa mmoja mfupi arekebishe gari hio au kama una uwezo kuna fundi yupo boda kyela nikupatie namba mashine itembee hio
 
Huyo jamaa mfupi,tunaweza kupata jina lake tafadhali
 
Hakuna rubber kwenye piston wala sehemu yeyote karibia na piston. Piston iko ndani ya tanuri la jotoridi la nyuzi 2,500 centigrade. Rubber Zingeyeyuka siku gari inawashwa kutolewa kiwandani.

Na piston hazisukumi clutch plate wala haziko karibu na clutch plate, bali zinasukuma crank shaft na cam shaft.
Mkuu futa tu hii
 
Back
Top Bottom