Tatizo laweza kuwa lipi kwa hii RAV4 kili time?

Mkuu tahadhari nzuri sana umetoa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini shida inakuwa zaidi mlimani?
 
Mkendo ndo kb?nisaidie namba ya fundi wa mkendo kama unayo mkuu
mkendo ipo karibu na kituo cha mafuta cha soweto infinity (zamani ilikuwa oilcom) ukifika soweto tu ukiulizia wanakuonyesha,,, namba zao sina ila ni garage ipo pembeni ya barabara ya soweto
 
Dah basi me sijui magari. Nimesusa. Sio kwa madini haya kiwango hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkendo ipo karibu na kituo cha mafuta cha soweto infinity (zamani ilikuwa oilcom) ukifika soweto tu ukiulizia wanakuonyesha,,, namba zao sina ila ni garage ipo pembeni ya barabara ya soweto
Asante sana mkuu
 
Tatizo huku Mbeya,naona mashine ni kama bado hawajazielewa vizuri kuzitafsiri.kama kuna mwenyeji wa Mbeya mjini anisaidie mtaalam mzuri
Mzee kuna.sehemu.hapo.mbeya garage inaitwa Kiki Garage fika garage hapo kuna jamaa mmoja mfupi arekebishe gari hio au kama una uwezo kuna fundi yupo boda kyela nikupatie namba mashine itembee hio
 
Mzee kuna.sehemu.hapo.mbeya garage inaitwa Kiki Garage fika garage hapo kuna jamaa mmoja mfupi arekebishe gari hio au kama una uwezo kuna fundi yupo boda kyela nikupatie namba mashine itembee hio
Huyo jamaa mfupi,tunaweza kupata jina lake tafadhali
 
Mkuu futa tu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…