wala hizi sio tatizo kaka ili tatizo lina mizizi yake toka tunapata uhuru, let us start there shule za kata ni tatizo la juzi tuIvi Shule za kata wazijua wewe?
Ivi Shule za kata wazijua wewe? hapa mi naona pande zote ni dhaifu tu...mwombaji pamoja na system ya elimu yetu!!
mimi nahisi pia madesa hayana kosa hapa, let us start from the time of independence up recenltyKweli madesa yalaaaniwe daima milele!!!!
ah hapo kidogo ntapingana na wewe hebu angalia watu waliosoma mpaka chuo enzi hizo unazosema wewe kwa kweli kiingereza wanakijua vizuri...so bado sijakupata unaposema tatizo ni la toka uhuru!!wala hizi sio tatizo kaka ili tatizo lina mizizi yake toka tunapata uhuru, let us start there shule za kata ni tatizo la juzi tu
Ha ha ha bibie anaesahisha hiyo mitihani naye kiingera hakipandi sawasawa anaaangalia point mtu alivyo weka so kufika chuo lazima afike si anafaulu masomo!!huyu mtu wwa aina hii anakuwa kafikaje huko kwenye madigriii??? maana elimu yetu ya juu ni tunatumia kiiingereza kama lugha ya kufundishia/kujifunzia!!!
Kweli madesa yalaaaniwe daima milele!!!!
sizungumzii waliosoma kipindi hicho ila nazungumzia mfumo ulioanzishwa wakati huo. Mfumo wenyewe ni wa kuweka lugha ya kiingereza kuanza kufundishwa darasa la tatu na wakati lugha ya mawasiliano ni lugha ya kiswahili kwa ngazi ya shule za msingi. Mfumo huo ukaendelea kutambua kiingereza kama lugha ya mawasiliano na kiswahili kubaki kama somo kwenye ngazi ya sekondari. Halikadhalika vyuo vikuuah hapo kidogo ntapingana na wewe hebu angalia watu waliosoma mpaka chuo enzi hizo unazosema wewe kwa kweli kiingereza wanakijua vizuri...so bado sijakupata unaposema tatizo ni la toka uhuru!!
Kwa hapo nimekuelewa mkuu nn ulikua unamaanisha! Ndo maana kwa sasa toka academy zianzishwe watoto wanaweza kuongea na wamekua kidogo na confidence katika ku jieleza. Shida yangu inakuja kule kwenye shule za kata yaani sijui tufanyeje maana wazazi kutoa ada tu ya 20,000 shida wataweza shule za ki academy!!sizungumzii waliosoma kipindi hicho ila nazungumzia mfumo ulioanzishwa wakati huo. Mfumo wenyewe ni wa kuweka lugha ya kiingereza kuanza kufundishwa darasa la tatu na wakati lugha ya mawasiliano ni lugha ya kiswahili kwa ngazi ya shule za msingi. Mfumo huo ukaendelea kutambua kiingereza kama lugha ya mawasiliano na kiswahili kubaki kama somo kwenye ngazi ya sekondari. Halikadhalika vyuo vikuu
Sasa ninachotaka kukueleza ni kuwa mfumo huo uliendana na kuwa na walimu wasiokidhi mahitaji ya lugha zote mbili kiswahili na kiingereza ndio maaana siku hizi tunamaliza vyuo vikuu neither kiswahili nor kiingereza. Kama bado hujanikamata endelea kuibua hoja bra Kimey
Ni kweli bra Kimey kwenye hizi shule za kata tatizo kubwa ambalo mimi naliona mbali na kuzorotesha elimu ya nchi ni kuanza kukua kwa elements za ukabila na uenyewe kutokana na wanafunzi kusoma kuanzia darasa la kwanza hadi form four pasipo kubadilisha eneo walilosoma. Lakini pia inadumaza akili za wanafunzi kutokana na kuwa wale wale toka darasa kwanza na kuendelea pasipo kupata changamoto kutoka kwa watoto wengine kwa mfano zamani kidgo darasa lwa kwanza hadi la saba unasoma Arusha vijijini, form one mpaka form four unasoma Iringa, form five na sx unasoma Mtwara na chuo Kikuu unasoma UDSM. Unaona sasa hii ilikuwa inaendeleza kujenga ushirikiano na kupanua mawazo tofauti na sasa ambako toka drasa la kwanza hadi form six unasoma Nachingwea au Mlimba pekeeShida yangu inakuja kule kwenye shule za kata yaani sijui tufanyeje maana wazazi kutoa ada tu ya 20,000 shida wataweza shule za ki academy!!
Kweli kuna tatizo kubwa katika suala la lugha. Lakini binafsi nadhani ilitosha kubandika hizo lugha bila address za wahusika. Mf kuna mtu anafanya kazi ya nursing inwezekana mwajiri wake hajui kama anataka kwenda kusoma kwahiyo anaweza kurisk kazi yake. Pia ni vyema kusitiri aibu za watu. Nashauri majina ya wahusika yaondolewe.
i think you are right. ok ntaenda ku edit, lakini na wewe ushanicopy. delete basi hii yako maana nikidelete na wewe ushacopy tutakuwa hatujafanya kitu. thanks though.
Haya nami nimetoai think you are right. ok ntaenda ku edit, lakini na wewe ushanicopy. delete basi hii yako maana nikidelete na wewe ushacopy tutakuwa hatujafanya kitu. thanks though.
being serious without proper knowledge is nothingits just the matter of being serious!!
Hapo simlaumu, pengine alimsikia Oprah Winfrey akimuuliza Maya Angelou What's up girl.Hi!
I am a girl aged 32years. Im looking for someone to sponsor me in buchelor of science in nursing in academic year 2010/2011 in St Johns University of dodoma in Tanzania. Curently im working at mafiga Health Centre in Morogoro Municipal.
Thank you in advance if my request will be cocidered positively.
RUKIA ABDALLA
Na anayewaambia they are still girls at 32 ni nani?
Opra is in entartainment industry where informal language is accepted and infact it helps in that business, but this is a formal context where formal language should be used. So its advisable to understand the nature of words that are to be used in certain contexts.Hapo simlaumu, pengine alimsikia Oprah Winfrey akimuuliza Maya Angelou What's up girl.