Tatizo letu liko wapi?

Tatizo letu liko wapi?

Ivi Shule za kata wazijua wewe?
wala hizi sio tatizo kaka ili tatizo lina mizizi yake toka tunapata uhuru, let us start there shule za kata ni tatizo la juzi tu
 
Ivi Shule za kata wazijua wewe? hapa mi naona pande zote ni dhaifu tu...mwombaji pamoja na system ya elimu yetu!!

huyu mtu wwa aina hii anakuwa kafikaje huko kwenye madigriii??? maana elimu yetu ya juu ni tunatumia kiiingereza kama lugha ya kufundishia/kujifunzia!!!

Kweli madesa yalaaaniwe daima milele!!!!
 
wala hizi sio tatizo kaka ili tatizo lina mizizi yake toka tunapata uhuru, let us start there shule za kata ni tatizo la juzi tu
ah hapo kidogo ntapingana na wewe hebu angalia watu waliosoma mpaka chuo enzi hizo unazosema wewe kwa kweli kiingereza wanakijua vizuri...so bado sijakupata unaposema tatizo ni la toka uhuru!!

huyu mtu wwa aina hii anakuwa kafikaje huko kwenye madigriii??? maana elimu yetu ya juu ni tunatumia kiiingereza kama lugha ya kufundishia/kujifunzia!!!

Kweli madesa yalaaaniwe daima milele!!!!
Ha ha ha bibie anaesahisha hiyo mitihani naye kiingera hakipandi sawasawa anaaangalia point mtu alivyo weka so kufika chuo lazima afike si anafaulu masomo!!

Solution hapa mi naona ni Juhudi binafsi tu zinatakiwa na muhusika mwenyewe!! maana hua watu wanaona noma sana kwenda may be pale British Council ku poolish lugha kisa watamshangaa yupo chuo anasoma english coz!! hii ni tofauti na rai wa nchi nyingine wao kujifunza hawaoni nomaa!!
 
ah hapo kidogo ntapingana na wewe hebu angalia watu waliosoma mpaka chuo enzi hizo unazosema wewe kwa kweli kiingereza wanakijua vizuri...so bado sijakupata unaposema tatizo ni la toka uhuru!!
sizungumzii waliosoma kipindi hicho ila nazungumzia mfumo ulioanzishwa wakati huo. Mfumo wenyewe ni wa kuweka lugha ya kiingereza kuanza kufundishwa darasa la tatu na wakati lugha ya mawasiliano ni lugha ya kiswahili kwa ngazi ya shule za msingi. Mfumo huo ukaendelea kutambua kiingereza kama lugha ya mawasiliano na kiswahili kubaki kama somo kwenye ngazi ya sekondari. Halikadhalika vyuo vikuu
Sasa ninachotaka kukueleza ni kuwa mfumo huo uliendana na kuwa na walimu wasiokidhi mahitaji ya lugha zote mbili kiswahili na kiingereza ndio maaana siku hizi tunamaliza vyuo vikuu neither kiswahili nor kiingereza. Kama bado hujanikamata endelea kuibua hoja bra Kimey
 
Kwa hapo nimekuelewa mkuu nn ulikua unamaanisha! Ndo maana kwa sasa toka academy zianzishwe watoto wanaweza kuongea na wamekua kidogo na confidence katika ku jieleza. Shida yangu inakuja kule kwenye shule za kata yaani sijui tufanyeje maana wazazi kutoa ada tu ya 20,000 shida wataweza shule za ki academy!!
 
Shida yangu inakuja kule kwenye shule za kata yaani sijui tufanyeje maana wazazi kutoa ada tu ya 20,000 shida wataweza shule za ki academy!!
Ni kweli bra Kimey kwenye hizi shule za kata tatizo kubwa ambalo mimi naliona mbali na kuzorotesha elimu ya nchi ni kuanza kukua kwa elements za ukabila na uenyewe kutokana na wanafunzi kusoma kuanzia darasa la kwanza hadi form four pasipo kubadilisha eneo walilosoma. Lakini pia inadumaza akili za wanafunzi kutokana na kuwa wale wale toka darasa kwanza na kuendelea pasipo kupata changamoto kutoka kwa watoto wengine kwa mfano zamani kidgo darasa lwa kwanza hadi la saba unasoma Arusha vijijini, form one mpaka form four unasoma Iringa, form five na sx unasoma Mtwara na chuo Kikuu unasoma UDSM. Unaona sasa hii ilikuwa inaendeleza kujenga ushirikiano na kupanua mawazo tofauti na sasa ambako toka drasa la kwanza hadi form six unasoma Nachingwea au Mlimba pekee
 
tatizo ni umasikini, acha waombe msaada...
 
Kweli kuna tatizo kubwa katika suala la lugha. Lakini binafsi nadhani ilitosha kubandika hizo lugha bila address za wahusika. Mf kuna mtu anafanya kazi ya nursing inwezekana mwajiri wake hajui kama anataka kwenda kusoma kwahiyo anaweza kurisk kazi yake. Pia ni vyema kusitiri aibu za watu. Nashauri majina ya wahusika yaondolewe.
 
huyu mtu wwa aina hii anakuwa kafikaje huko kwenye madigriii??? maana elimu yetu ya juu ni tunatumia kiiingereza kama lugha ya kufundishia/kujifunzia!!!

Kweli madesa yalaaaniwe daima milele!!!!
Amen n amen
 
Kweli kuna tatizo kubwa katika suala la lugha. Lakini binafsi nadhani ilitosha kubandika hizo lugha bila address za wahusika. Mf kuna mtu anafanya kazi ya nursing inwezekana mwajiri wake hajui kama anataka kwenda kusoma kwahiyo anaweza kurisk kazi yake. Pia ni vyema kusitiri aibu za watu. Nashauri majina ya wahusika yaondolewe.

i think you are right. ok ntaenda ku edit, lakini na wewe ushanicopy. delete basi hii yako maana nikidelete na wewe ushacopy tutakuwa hatujafanya kitu. thanks though.
 
i think you are right. ok ntaenda ku edit, lakini na wewe ushanicopy. delete basi hii yako maana nikidelete na wewe ushacopy tutakuwa hatujafanya kitu. thanks though.

na accessibility ya website ambako umetoa hizo applications nako itakuwaje??? au kule si wengi tunaochungulia!! (sipingani na wazo la kuficha majina ya wahusika thou)
 
na accessibility ya website ambako umetoa hizo applications nako itakuwaje??? au kule si wengi tunaochungulia!! (sipingani na wazo la kuficha majina ya wahusika thou)
naona itabidi waongee na it person embassy atoe labda
 
i think you are right. ok ntaenda ku edit, lakini na wewe ushanicopy. delete basi hii yako maana nikidelete na wewe ushacopy tutakuwa hatujafanya kitu. thanks though.
Haya nami nimetoa
 
its just the matter of being serious!!
 
Hi!
I am a girl aged 32years. Im looking for someone to sponsor me in buchelor of science in nursing in academic year 2010/2011 in St Johns University of dodoma in Tanzania. Curently im working at mafiga Health Centre in Morogoro Municipal.
Thank you in advance if my request will be cocidered positively.
RUKIA ABDALLA

Na anayewaambia they are still girls at 32 ni nani?
Hapo simlaumu, pengine alimsikia Oprah Winfrey akimuuliza Maya Angelou What's up girl.
 
Hapo simlaumu, pengine alimsikia Oprah Winfrey akimuuliza Maya Angelou What's up girl.
Opra is in entartainment industry where informal language is accepted and infact it helps in that business, but this is a formal context where formal language should be used. So its advisable to understand the nature of words that are to be used in certain contexts.
 
Yap! that is what happening in Tanzania. But the main problem is that we don't trust ourselves. That is why others here at Jf are comparing themselves with kenyans and ugandans. This problem is also facing even other countries like China and Japan. The only issue is to discover our own technology with our own kiswahili that is when we can stand with our own feet and slowly will improve our English.
 
Tupeni namna ya kuupgrade kwenye hiyo lugha ya wenzetu na siyo kushangaa.
primary- Mtaenda primary Schoo!!
Secondary- Ya Kata haina mwalimu wala dawati sembuse vitabu. Mzazi atajipiga kupata kitabu na dawati, how about waalimu na taaluma zao??
Advanced Sec. School- Mwirenge High school, Mwalimu anafundisha shule kama tatu hivi, moja msaada au mwenye nauli ampatie, ya pili wanafunzi wanalipa tuishion fee 5000/= kwa dakika 120. na yatatu ni ile aliyoajiriwa ya private!!!! kwenye private anamaliza muda wake mwingi.
Chuo- kidogo mfumo umekaa sawa tunafundishwa namna ya ku-handle issue nyingi kwa pamoja na kimfumo, masomo yenyewe huenda kwa speed ya ajabu!!

huyu mtu unategemea awe na kiienglish kizuri?
Tupeni namna ya kujikomboa
 
Back
Top Bottom