Tatizo sio wagombea, kubwa ni system nzima katika kuiongoza Tanzania, kuiondoa mfumo huu wa kimwinyi na kibepari ni lazima CCM iondoke ikae benchi, kama itakavyokuwa baada ya ushindi wa kimbunga wahindi wanaita tufani hapo tarehe 28 kuamkia 29 mwezi huu wa kumi 2020.
Inaanzwa na kumuondoa kinara wao na wabunge na madiwani wanaoiongoza mfumo mbaya ulioota mizizi,yaani tunaing'oa kabisa,CCM haina njia ya kutokea isipokua kukutana na kifo chake kila mwananchi akiona CCM ni wachache sana na waoga, mitaani huko wanafurushwa na kufukuzwa kama ndezi.
Hakuna sababu hata moja ya hawa jamaa kubaki madarakani,wanaondolewa mzobe mzobe maana hakuna ,wananchi walio wengi wamepigika vilivyo ,matumaini ya kuinua hali zao kimaisha imetoweshwa,sasa wanadanganywa na pipi za ndege na barabara za lami eti ndio maendeleo ya mwananchi na kuahidiwa kujengewa barabara nyingi zaidi.
Chama kinaposema usiponipa kura yako sikuletei maendeleo chama hicho hakifai kikataliwe kwa mapana na marefu.
CCM hoi itikia - hoii.