Tatizo lilikuwa nini mpaka yote yakatokea

Tatizo lilikuwa nini mpaka yote yakatokea

Joined
Aug 28, 2013
Posts
33
Reaction score
4
Kwanza naomba niwashukuru form six wote maana tumeshikamana kwa umoja na mungu wetu ametusikia wamepeleka mbele ila pamoja na yote bado hatujajua ni kivipi jeshi letu tukufu likaamua jana kutufanya tupate presha, kiukweli mpaka sasa sielewi ni kivipi walikurupuka na kuja na jambo kama lile? Je ni nani jana alifurahia tangazo lile/ ni kwanini alijisikia hivyo? Je ungependa kushauri nini serikali yetu...... Tusitukane jamani
 
Nilikuwa nimezimia ndo nazinduka naambiwa niandike barua ya kuahirisha
 
Back
Top Bottom