aache..na akachekiwa amepungua damu kiasi gani kuna uwezekano akahitaji madini ya chuma ili kuongeza damu mwilini!nashukuru na napokea ushauri.
...kuna namna ambayo inaweza tumika kusitisha dozi ambayo tayari inaleta side effect au ni mpaka miezi 3 iishe?