Tatizo litakuwa ni nini?

Tatizo litakuwa ni nini?

kajiti

Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
59
Reaction score
7
Mwanamke anatumia njia ya uzazi wa mpango ya sindano (ya miezi mitatu) ila tangu apate hedhi yapata mwezi sasa bado anavuja damu tu.

Tatizo ni nini na nini kifanyike?

Natanguliza shukurani wakuu kwa msaada!
 
ni side effect ya hizo dawa...aache kutumia na ajaribu njia nyingine za uzazi wa mpango...
 
ni side effect ya hizo dawa...aache kutumia na ajaribu njia nyingine za uzazi wa mpango...
nashukuru na napokea ushauri.
...kuna namna ambayo inaweza tumika kusitisha dozi ambayo tayari inaleta side effect au ni mpaka miezi 3 iishe?
 
nashukuru na napokea ushauri.
...kuna namna ambayo inaweza tumika kusitisha dozi ambayo tayari inaleta side effect au ni mpaka miezi 3 iishe?
aache..na akachekiwa amepungua damu kiasi gani kuna uwezekano akahitaji madini ya chuma ili kuongeza damu mwilini!
 
Tafuta wataalam nenda hospital. Kuna Mke warafiki yangu walijaribu kupanga uzazi kwa njia hizo mwisho wa siku alitokwa na damu miezi 8 lakini walienda kwa wataalam na tatizo liliisha.
 
Tafuta wataalam nenda hospital. Kuna Mke warafiki yangu walijaribu kupanga uzazi kwa njia hizo mwisho wa siku alitokwa na damu miezi 8 lakini walienda kwa wataalam na tatizo liliisha.

asante kwa ushauri!
 
Back
Top Bottom