Tatizo lolote la PC/device

Heshima kwenu wakuu, napenda kurudisah mrejesho kua mpka sasa PC haina tena ile maneno za the copy of Windows is not genuine hayapo tena na tatizo limekwisha,,,,, shukrani sana wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pirate!
Natumia Acer, nikijaribu kuinstal new programs inagoma. Nikijaribu kuupdate basic microsoft window packs inaniletea errors. Please, help me in this (any may do)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pirate msaada p/se nina desktop Dell inatumia WindowXP, nikifungua tu inaleta sms *Microsoft Malware Protection Command Line Utility* wakinitaka niclose, siku za nyuma waliniambia Window XP ilisimama 2014 sasa fundi ka-install jana tu kala na hela kaniambia ni Ram niongeze kwani ipo 750Mb naomba niokoe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nasubiri msaada wako

jinsi ya kuangalia ni ukiwasha PC yako baada ya kuingia kwenye kwenye system kama computer shortcut ipo kwenye desktop basi right click kisha chagua manage ambayo itakupa notification ya administrative privilege( muda mwingine inaweza isikuulize hata hivyo ) itakuja sehemu ya COMPUTER MANAGEMENT , baada ya hapo uataona selection nyingi kidogo but utaangalia adi uione device manager angalia hapo kama utaona driver ina rangi ya njano ujue aijakuwa installed vizur basi download driver yake tena kisha itafanya kazi

### kama ikiwa ngumu sana uliza mkuu au soma hapa
 


unatumia malware remover yoyote mkuu au ndio unayo Microsoft essential tu??
 
Pirate hyo driver inaitwaje? Alafu mbona sijaona hyo rangi ya njano
 


ok nimeangalia mahali flani so jaribu kufata izi procidure

Here, we will be talking about how to root your Tecno C7 Android phone. In this guide, we will be installing twrp recovery first on oir tecno camon c7 device and then use it to root our camon c7 phone.

Granted we all know what rooting is all about and also the benefit of a rooted Android phone, lets begin




REQUIREMENTS:

* PC
* Vcom Drivers (very important). See detailed guide how to install vcom drivers to your pc
* Sp Flashtool latest version. Download here
* Camon C7 Twrp recovery and scatter file. Download here
* Working USB cable
* SuperSu.zip v2.79. Download


  1. Download sp flashtool latest version and extract its contents to another folder in your pc desktop
  2. Download Tecno camon c7 twrp recovery image and scatter file and extract to another folder in your desktop
  3. Now goto sp falshtool folder, find "flash_tool.exe" and double click it to launch sp flashtool
  4. In sp flashtool, you will see "scatter loading". Now follow that scatter loading and click on "choose" which will then open a small window.
  5. Now locate your twrp and scatter file folder and double click on "MT6735_Amdroid_Scatter.txt" which will auto load twrp recovery to sp flashtool
  6. After that, click on the "DOWNLOAD" button
  7. Now, turn off your device completely and plug it to your pc for twrp recovery to be installed in it.
  8. After that, you will see "OK" sign which means twrp has been successfuly installed
  9. Unplug your phone and reboot to twrp recovery mode by press amd holding Volume Up + Power Button

That's it, you can now install flashable zip files, make backups and restore



How To Root Tecno Camon C7



Rooting tecno camon c7 is pretty simple, granted you have installed twrp recovery on your camon c7 device, use below guide to root it

  1. Download SuperSu.zip v2.79 to root of your sd card
  2. Turn off your phone to boot to twrp recovery mode
  3. In twrp recovery, tap on "Install" and locate where you place supersu.zip file, select it and proceed to install
  4. After installation, reboot your device

That's it, you have successfully rooted your tecno camon c7 and can now enjoy the benefit of a rooted Android.



#####
hope it'll work out though i did not yet test and everything is UNDER YOUR RISK.

Or read more HERE
 
Pirate hyo driver inaitwaje? Alafu mbona sijaona hyo rangi ya njano


ok mkuu naona kama unaweza ukapata access ya internet yoyote jaribu kudownloada DRIVER BOOSTER HAPA na ufate maelekezo jinsi ya kuinstall baadae ufanye activation kisha scan - na baadae itakuonyesha drivers ambazo zimemiss na hapo utaona list ya drivers ambazo azipo na kwa ushauri tu chomeka modem kabisa ili ionekane nayo pia kisha update drivers zote inaweza ikakusaidia mkuu


###
kama ujaelewa usiwe na shida kuuliza tena mkuu
 
Mkuu Pirate!
Natumia Acer, nikijaribu kuinstal new programs inagoma. Nikijaribu kuupdate basic microsoft window packs inaniletea errors. Please, help me in this (any may do)

Sent using Jamii Forums mobile app

labda mkuu sijakuelewa vizur, yan inagoma kufanya update ya windows kabisa au ku-install new program inagoma??
 
Nina tatizo na pc yangu aina ya ya latitude 2110 ina stark na ninapo play video yoyote alafu sauti inaanza kusikika wakati vitendo vinachelewa

Samsung grand prime
 
Nina tatizo na pc yangu aina ya ya latitude 2110 ina stark na ninapo play video yoyote alafu sauti inaanza kusikika wakati vitendo vinachelewa

Samsung grand prime


update video driver mkuu
 
Mwenye USB hub ya 3.0 au mahali ambapo naweza kupata, nataka zile zenye chaja. Mi ninazopata huku nilipo ni zile usb za 2.0 na hazidumu, natumia kama mwezi zinagoma. Msaada wenu unahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…