Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Delly yangu inasumbua kwenye internet yan nikiwasha nakuta internet inajifungua page nyingi nyingi auotomatic bila mm kucomand ifanye hivo naitaji msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni add-ons sometimes Zinakuwa installed bila ww kujua au unaweza ukawa unajua ila ujazisoma vizur na nying uwa zinakuja wakat wa kuinstall software ambazo zipo cracked

Cha kufanya uwa nenda kwenye sehem ya kufanya uninstall za apps zako Kisha angalia app ambayo unahis ukuiweka na pia nying za izo add-ons uwa Zinakuwa ndogo sana kwa size

Pia uwa nyingne zinakuja pamoja na baadhi ya apps za kuboost pc speed au cleaning cache majina nimesahau kidogo ya hizo apps

Hopefully it'll help you

Pirate
 
Nina PC ila tatzo tangu juzi nimekua nikiiwasha hainiruhusu kwenda kwenye application ila kwenye kioo ina onesha "operating system not found" msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina PC ila tatzo tangu juzi nimekua nikiiwasha hainiruhusu kwenda kwenye application ila kwenye kioo ina onesha "operating system not found" msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno iPad inadai privacy protection password nafanyaje waungwana? msaada!

Sent using Jamii Forums mobile app
Zima kwanza hiyo device tablet yako Kisha toa sim card Kisha iwashe jarbu kama itakubal ikupe option ya kuingia kwa Gmail iwe kama recover email kama ukiandka umesahau password,

# # ## note
Pia baadhi ya latest devices wameweka smart lock ukitoa sim card inajilock device yenyew aikuletei hata option ya kufanya selection nyingne so chakufanya kingine inabid u-root simu yako ili ufanye reflash au uweke firmware ambayo ilikuja nayo iyo devices

Hopefully it'll help you out

Nimejaribu hii njia imekataa hainipi option yoyote! Labda Ku re flash / Ku root sina uelewa Wa hivyo vtu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namu nakupa njia mbili hapa.
1-angalia keybody yako utaona batani (fn)
bonyeza fn bila kuachia na kubonyeza batani za up and down.
kama bado jaribu fn+f1,
au fn+f2
au fn+f7
au fn+f8

kama ikigoma jaribu hii
-nenda start
-control pannel
-system and security
-power option
hapo utaona brightness ongeza au uitoe kwenye automatic iwe manyu ila uwezo wa kukaa chaji utapungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PC yangu haiwaki tena ilianza hivi

155511a741738f8d4ddd8940e62e602a.jpg

Then

5f11468675e8281e094ea3e58076b97a.jpg

333bfc83d5906dfa915821aa8dbf0cd8.jpg

fc6e7c3a0a82ba549df1aaf0ce526f02.jpg

Kwa sasa nikiiwasha vile vitaa vinawaka na feni nasikia inazunguka lakini kioo hakioneshi chochote.

80e6d8e8f3ae66e9a097327c03d0bb55.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOJaribu kuweka RAM nyingine
 
Back
Top Bottom