Nini matumizi ya proximity sensor
Ina display within bios system / windows system mkuu??Nina HP laptop, sasa kila nikianza kuboot inadisplay kisha inaganda hapo ktk hatua za awali kabisa! Tatizo nini mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
OK maybe imeanzaje kugoma??
Ni android devices / apple devices??PC yangu nkiconnect na phone kwa kutumia USB cable haisomi naomba msaada hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Can not even allow you to press any key to give you any option, it only stack at the two first seconds once you power on the laptop!Ina display within bios system / windows system mkuu??
Pirate
Kwa haraka tu inawzekana ikawa kioo kina shida so kama unaweza jarbu kama una TV, desktop monitor kuunganisha!PC yangu haiwaki tena ilianza hivi
Then
Kwa sasa nikiiwasha vile vitaa vinawaka na feni nasikia inazunguka lakini kioo hakioneshi chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
OK that's must be bios problem, what you have to do is to download bios firmware that compatible to your hp computer then install, and there's a lot of tutorials about how to install bios but you must install through USB flash diskCan not even allow you to press any key to give you any option, it only stack at the two first seconds once you power on the laptop!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole mkuu, ila haikupata mstuko labda RAM ikaplay mahali pake?Mkuu,Nina dell inspiron 15-3559 niiapdate bios ,ikafel mpaka muda huu,inawaka kwenye taa ya kuonenyesha power inaingia,bt haidisplay chochote,yaan kwa kifupi haionyeshi chochote!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap kweli kabisa mm pia nilkuwa nategemea tungepata wachangiaj wengi kwasabab humu jamvini Kuna watu experience sana na wako vizur na solving problems but let's keep on going tutapata watu ZaidHuu Uzi nimesubscribe kabisa, nashangaa wachangiaji wachache kuliko nyuzi za uganga na uchawi!
Mleta Uzi usichoke, tuvumilie wengine tumeupenda Uzi huu!
Binafsi nimesomea engineering ya computer, tatizo mauzoefu! Uzi huu utanisaidia sana hasa endepo wataalam zaidi watatoa ushirikiano vizuri!
Ktk yale nina uhakika nayo nitafafanua kwa wahitaji!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hapo,nimeshajarib kureplace ram,mambo hayaelewkiDuh pole mkuu, ila haikupata mstuko labda RAM ikaplay mahali pake?
Matatizo ya display kama hayo pia huchangiwa na RAM!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mim nkityp alaf nisev kwenye flash niktaka kuprint inaonesha shotcut yan inakuw bado inaonyesha bado iko kweny word ikiwa kweny flash tatizo nin? HpHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Labda pia JARIBU njia hii mkuuMkuu,Nina dell inspiron 15-3559 niiapdate bios ,ikafel mpaka muda huu,inawaka kwenye taa ya kuonenyesha power inaingia,bt haidisplay chochote,yaan kwa kifupi haionyeshi chochote!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu. Nilijaribu kuunganisha na desktop monitor lakini haikuwaka pia.Kwa haraka tu inawzekana ikawa kioo kina shida so kama unaweza jarbu kama una TV, desktop monitor kuunganisha!
# TV sometime monitor inaweza kuunganisha kwa kutumia hdmi cable but baadhi ya pc lazima ufanye installation baada ya kuweka windows, so jarbu kama itakubal kuonekana kama ikionekana basi display yako Ina tatizo
# desktop monitor unachukua VGA cable unaichomeka kwenye laptop yako Kuna sehem kabisa ambayo unaweza kuichomeka (KAMA UIFAHAM JARIBU KUNIULIZA NITAKUELEKEZA) ukiona inaonyesha bas ujue display imesumbua
**muda mwngne inawzekana ikawa kioo kimecheza tu, au inverter imeungua ambayo inaleta mwanga kwenye display so unaweza ukafungua sehem ya kioo kama unaweza na kuangalia labda baadhi ya cables zimeachia au zimelegea au inverter imeungua so angalia vizur kama utaweza kusolve mwenyew
Pirate
Ahsante, sasa fanya hivi ili kujua pia kama tatizo ni RAM au CPU!
Mkuu SijakuelewA vizur, but nitajid kuelezea kidogoMim nkityp alaf nisev kwenye flash niktaka kuprint inaonesha shotcut yan inakuw bado inaonyesha bado iko kweny word ikiwa kweny flash tatizo nin? Hp
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"