Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

PC yangu haiwaki tena ilianza hivi

155511a741738f8d4ddd8940e62e602a.jpg

Then

5f11468675e8281e094ea3e58076b97a.jpg

333bfc83d5906dfa915821aa8dbf0cd8.jpg

fc6e7c3a0a82ba549df1aaf0ce526f02.jpg

Kwa sasa nikiiwasha vile vitaa vinawaka na feni nasikia inazunguka lakini kioo hakioneshi chochote.

80e6d8e8f3ae66e9a097327c03d0bb55.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proximity sensor kwa lugha rahis ni kifaa ambacho kinaweza detect (kwa kiswahili chepes ni KUHISI/KUGUNDUA) Kifaa kingine bila kukutana (physical interaction),

Pia sio lazima kwa kifaa ambacho kinaweza ku-detect kuwa na hiyo PROXIMITY SENSOR, kinaweza kufanya lolote kutokana na maelekezo yaliyokuwa yamewekwa kufanya baada ya hiyo kukutana. MFANO mdogo wa proximity sensor, ni kwa mfano unavyopekea na unapoiweka simu sikion kioo cha simu kama kinakuwa black hivi sasa pale icho kifaa kimewekwa juu baada ya display kioo ndio maana hata ukiweka kidole juu tu pale kwenye sensor tu kama inakuwa inazima hiv.

Pia iyo proximity sensor inafungwa kwenye vifaa vingi sana

NB:that's for what I know, maybe read more online for more informations
Nini matumizi ya proximity sensor

Pirate
 
Nina simu itel p12 menu key imegoma kufanya kazi niifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
OK maybe imeanzaje kugoma??

Kwa short solution maybe kama umeinstall new launcher /theme inaweza ikawa imeleta tatizo kutokana na baaz za hizo launcher code zake ni tofaut na baadhi ya simu kwaiyo kama ni hivyo uninstall hiyo launcher,

# install app yoyote inayoweza kuclear cache kwenye playstore inaweza ikasaidia.

# jarbu ku-restore simu yako labda inaweza ikarudi vizur Tena.

## jarbu kwenda kwa fundi kwa uchunguz Zaid labda ni HARDWARE PB

hopefully it'll help

Pirate
 
PC yangu nkiconnect na phone kwa kutumia USB cable haisomi naomba msaada hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni android devices / apple devices??

Kama ni android devices ikiwa simu uion kwenye PC kwa USB cable bas jarbu kwenda official page ya hiyo device na u-download driver ya hiyo simu Kisha install then unaijarb Tena kuweka au ukishindwa kuipata jarbu kutumia universal driver za android device zipo nying Google.

# Apple devices, unaweza ukatafuta iTunes, but by default iPhone inaonekana kwenye pc bila hata kuwa na iTunes ila tu uwez kuweka vitu kama music, pictures, video n.k

Hopefully it'll help you

Pirate
 
PC yangu haiwaki tena ilianza hivi

155511a741738f8d4ddd8940e62e602a.jpg

Then

5f11468675e8281e094ea3e58076b97a.jpg

333bfc83d5906dfa915821aa8dbf0cd8.jpg

fc6e7c3a0a82ba549df1aaf0ce526f02.jpg

Kwa sasa nikiiwasha vile vitaa vinawaka na feni nasikia inazunguka lakini kioo hakioneshi chochote.

80e6d8e8f3ae66e9a097327c03d0bb55.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haraka tu inawzekana ikawa kioo kina shida so kama unaweza jarbu kama una TV, desktop monitor kuunganisha!

# TV sometime monitor inaweza kuunganisha kwa kutumia hdmi cable but baadhi ya pc lazima ufanye installation baada ya kuweka windows, so jarbu kama itakubal kuonekana kama ikionekana basi display yako Ina tatizo

# desktop monitor unachukua VGA cable unaichomeka kwenye laptop yako Kuna sehem kabisa ambayo unaweza kuichomeka (KAMA UIFAHAM JARIBU KUNIULIZA NITAKUELEKEZA) ukiona inaonyesha bas ujue display imesumbua

**muda mwngne inawzekana ikawa kioo kimecheza tu, au inverter imeungua ambayo inaleta mwanga kwenye display so unaweza ukafungua sehem ya kioo kama unaweza na kuangalia labda baadhi ya cables zimeachia au zimelegea au inverter imeungua so angalia vizur kama utaweza kusolve mwenyew

Pirate
 
Mkuu,Nina dell inspiron 15-3559 niiapdate bios ,ikafel mpaka muda huu,inawaka kwenye taa ya kuonenyesha power inaingia,bt haidisplay chochote,yaan kwa kifupi haionyeshi chochote!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi nimesubscribe kabisa, nashangaa wachangiaji wachache kuliko nyuzi za uganga na uchawi!

Mleta Uzi usichoke, tuvumilie wengine tumeupenda Uzi huu!

Binafsi nimesomea engineering ya computer, tatizo mauzoefu! Uzi huu utanisaidia sana hasa endepo wataalam zaidi watatoa ushirikiano vizuri!

Ktk yale nina uhakika nayo nitafafanua kwa wahitaji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Can not even allow you to press any key to give you any option, it only stack at the two first seconds once you power on the laptop!

Sent using Jamii Forums mobile app
OK that's must be bios problem, what you have to do is to download bios firmware that compatible to your hp computer then install, and there's a lot of tutorials about how to install bios but you must install through USB flash disk

NOTE#
Maybe it'll help you! But only if you know how to deals with troubleshooting, avoid causing more problems

Pirate
 
Mkuu,Nina dell inspiron 15-3559 niiapdate bios ,ikafel mpaka muda huu,inawaka kwenye taa ya kuonenyesha power inaingia,bt haidisplay chochote,yaan kwa kifupi haionyeshi chochote!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole mkuu, ila haikupata mstuko labda RAM ikaplay mahali pake?

Matatizo ya display kama hayo pia huchangiwa na RAM!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi nimesubscribe kabisa, nashangaa wachangiaji wachache kuliko nyuzi za uganga na uchawi!

Mleta Uzi usichoke, tuvumilie wengine tumeupenda Uzi huu!

Binafsi nimesomea engineering ya computer, tatizo mauzoefu! Uzi huu utanisaidia sana hasa endepo wataalam zaidi watatoa ushirikiano vizuri!

Ktk yale nina uhakika nayo nitafafanua kwa wahitaji!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap kweli kabisa mm pia nilkuwa nategemea tungepata wachangiaj wengi kwasabab humu jamvini Kuna watu experience sana na wako vizur na solving problems but let's keep on going tutapata watu Zaid

Pirate
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Mim nkityp alaf nisev kwenye flash niktaka kuprint inaonesha shotcut yan inakuw bado inaonyesha bado iko kweny word ikiwa kweny flash tatizo nin? Hp

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Mkuu,Nina dell inspiron 15-3559 niiapdate bios ,ikafel mpaka muda huu,inawaka kwenye taa ya kuonenyesha power inaingia,bt haidisplay chochote,yaan kwa kifupi haionyeshi chochote!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda pia JARIBU njia hii mkuu

Update bios uwa na risk kidogo kwa mtu anaeifanya na inabid uwe makin sometimes uwa inaweza ikafanya pc isiwake kabisa, sometimes INSIDE H20 BIOS ni nzur kidogo ku-update,

Sasa cha kufanya hapo jarbu kudownload default firmware bios, katika officially page ya dell au online pia watakupa maelezo jinsi ya kuiweka humo humo so JARIBU kuyafuata maelekezo vizur ili uweze kutokuarbu Zaid mkuu

# # note

Maelezo yote ni vizur kuyajarbu inaweza mojawapo ikafaa

Pirate
 
Kwa haraka tu inawzekana ikawa kioo kina shida so kama unaweza jarbu kama una TV, desktop monitor kuunganisha!

# TV sometime monitor inaweza kuunganisha kwa kutumia hdmi cable but baadhi ya pc lazima ufanye installation baada ya kuweka windows, so jarbu kama itakubal kuonekana kama ikionekana basi display yako Ina tatizo

# desktop monitor unachukua VGA cable unaichomeka kwenye laptop yako Kuna sehem kabisa ambayo unaweza kuichomeka (KAMA UIFAHAM JARIBU KUNIULIZA NITAKUELEKEZA) ukiona inaonyesha bas ujue display imesumbua

**muda mwngne inawzekana ikawa kioo kimecheza tu, au inverter imeungua ambayo inaleta mwanga kwenye display so unaweza ukafungua sehem ya kioo kama unaweza na kuangalia labda baadhi ya cables zimeachia au zimelegea au inverter imeungua so angalia vizur kama utaweza kusolve mwenyew

Pirate
Asante sana mkuu. Nilijaribu kuunganisha na desktop monitor lakini haikuwaka pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka hapo,nimeshajarib kureplace ram,mambo hayaelewki

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante, sasa fanya hivi ili kujua pia kama tatizo ni RAM au CPU!

Chomoa RAM zote kisha washa PC yako, ukisikia three continuous beeps ujue tatizo ni RAM ila ukiona kimya, hiyo ni board problem hasa kwenye aidha CPU au viambata vya CPU kwenye board!

Kama unao uwezo wa kutumia digital multimeter, pima njia kadhaa za viambata vya CPU!

Vinginevyo muone mtaalamu zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim nkityp alaf nisev kwenye flash niktaka kuprint inaonesha shotcut yan inakuw bado inaonyesha bado iko kweny word ikiwa kweny flash tatizo nin? Hp

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Mkuu SijakuelewA vizur, but nitajid kuelezea kidogo

Kama ukiweka kwenye flash then inaonyesha shortcut bas labda uja-save vizur, Lakin kama aionekan basi uja-save kabisa so chakufanya save kwenye folder lolote kwenye pc then copy/move kawaida kwenye flash inaweza ikasaidia

Pirate
 
Mkuu pirate samahani bana Nina PC yangu aina ya HP Niki connect earphones sauti haiji kwa speakers za earphones badala yake inaendelea kupiga kwa speakers za PC, tatizo ni nini hapo mkuu
 
Back
Top Bottom