Tatizo lolote la PC/device

Mimi PC yangu mwanga ulipotea kabisa, ila ukimulika kwa tochi unaona file zote sijui shida ni nini
 
wakuu natafuta windows 10 installation disc mwenye nayo naomba uje pm
 
kama bado ujapata msaada fanya hiv, badilisha hiyo connection yan kuanzia jina na kila kitu alaf, kisha hapo kwenye connection forget hiyo connection ya ADYY...., baada ya hapo uhakika iyo nyingne itakubal tu kufanya metered
Mkuu naomba unipe procedure vzr apa nijaribu kuset yangu maana nimeunganisha apa kwa wi-fi ata dk 3 azijaisha mb 68 zimekata...NB:iyo metered ipo on ila bado aijasaidia
 
Wakuu naombeni msaada pc imegoma kabisa kutouch na button za apa kwenye kutouch nazo azikubali ila nikiweka mouse inakubali....naombeni msaada
 
Habari wadau mm natumia HP elitebook folio9480m sasa USB ports mbili za upande wa kulia hazifanyi kazi nkiweka flash.. Pia nikiweka cm inaonesha tu inacharge ila haisomi kwene pc... Nimejarbu ku update drivers imekataa pia MSAADA UNAHITAJIKA
 
Same problem na kwangu, sema mi flash inasoma ila ukichomeka phone ili kuhamisha data inachaji tu ...window 8
 
PC yangu hp elitebook 8470p nikiwasha inatoa maelezo fan doesn't work correctly nifanye nini kutatua tatizo hilo
 
Mkuu,Nina dell inspiron 15-3559 niiapdate bios ,ikafel mpaka muda huu,inawaka kwenye taa ya kuonenyesha power inaingia,bt haidisplay chochote,yaan kwa kifupi haionyeshi chochote!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hilo ni critical kidogo kawaida utahitaji kuprogram upya ic ya BIOS ambayo mafundi huwa hatufanyi hiyo bali tunabadili hiyo ic/chip na kuweka nyingine ya mashine iliyokufa
 
PC yangu hp elitebook 8470p nikiwasha inatoa maelezo fan doesn't work correctly nifanye nini kutatua tatizo hilo
fungua safisha hiyo fan pamoja na heat sink ikirudia tafuta mtaalamu abadili fan au kama ni ishu ya voltages afanye looping
 
Mkuu pirate samahani bana Nina PC yangu aina ya HP Niki connect earphones sauti haiji kwa speakers za earphones badala yake inaendelea kupiga kwa speakers za PC, tatizo ni nini hapo mkuu
audio jack haiko sawa kuna vipini fulani ndani ya hilo shimo la kuweka earphone jaribu kuviinua kidogo
 
Natumia laptop hp, windows 10. Kuna software naipenda sana kuitumia kuangalizia movies inaitwa mpcstar ipo very customizable ndio maana naipenda sjaona video player nyingine nzur kama hiyo. Tatizo langu ni hii player ghafla tu iliacha kufanya kazi, nikiitumia ku play video ina play ila inabaki minimized kwenye task bar. Hata nifanyaje haiwi maximized niweze kuona kinacho play. Hatua nilizochukua ni kucheki kama imekua outdated nikai update but tatizo limebaki hivyo hivyo, nimei unistall nika instal upya lakini wapi. Tafadhali msaada wenu kwa anayeweza hisi tatizo ni nini hapa. I am forced kutumia VLC sasa ambayo binafsi siikubali kabisa.
 
Sorry Mkuu...
PC yangu HP, tatizo lake toka nibadili window 10 kwenda 7 imekua inakwama kwama balaaa (stack).
 
PC yng ni lenovo, taa imezma kuangalia mpk nimulike KWA tochi. Ht nipandshe mwanga haionyeshi sijui tatizo ni nini
 
Wakuu nikiwasha pc yangu inaniandikia NO BOOT DEVICE FOUND.. Press any key to reboot na nkipress any key inarudi hapo hapo... Msaada wakuu
 
Habari wadau mm natumia HP elitebook folio9480m sasa USB ports mbili za upande wa kulia hazifanyi kazi nkiweka flash.. Pia nikiweka cm inaonesha tu inacharge ila haisomi kwene pc... Nimejarbu ku update drivers imekataa pia MSAADA UNAHITAJIKA
Ingia bios setting udisable USB 3.0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…