Ally Manyanya
Member
- Jun 30, 2016
- 28
- 3
Laptop yangu inakula sana Data, ninapounganish kwa kutumia wifi via sim yangu. Nimejarb njia tofaut tofauti mf. Kuturn on metered connection ila cha ajabu io kitu haitak kuwa on
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laptop yangu inakula sana Data, ninapounganish kwa kutumia wifi via sim yangu. Nimejarb njia tofaut tofauti mf. Kuturn on metered connection ila cha ajabu io kitu haitak kuwa onView attachment 762498
kuu PC yng baada ya kupiga window 7 nikiweka flash haisomi
unamjibu nanfeni inazunguka ukiisikia??
kuu PC yng baada ya kupiga window 7 nikiweka flash haisomi
Iyo simu yako hai support USSD codes yaan izo number zinazo anza na star* alternative unacho weza kufanya downloads apps za M-Pesa,Tigo Pesa via Wi-FiPirate Mimi Simu yangu ni itel 32 nikitaka kujiunga na au kuingiza vocha maneno haya yanakuja connection problem or invalid mm1 code pamoja na huduma kama mpesa tigopesa hazipatikani nikitaka kujiunga lazima nichukue Simu nyingine ndipo nijiunge tafadhali naomba msaada
Ndio mkuufeni inazunguka ukiisikia??
Baada ya kuwashahii hutokea mara baada ya kuwasha ama baada ya ujumbe wa Windows kuload?
Asante kiongoziIyo simu yako hai support USSD codes yaan izo number zinazo anza na star* alternative unacho weza kufanya downloads apps za M-Pesa,Tigo Pesa via Wi-Fi
Pia jaribu kucheki app inaitwa Recharge King hua inapatikana moja kwa moja kwa simu za tecno yenyew ina Fanya kazi baada ya Ku Scan zile namba ulizo zikwangua za vocha kisha ndo ina ingia
Jaribu iz tips
Kama una warranty si bora urudishe iyo sim Mkuu?
Kuna ku update pia izo driver yeye mwenyew tofauti na kudownload au kuziamisha kutoka pc nyinginemara nyingi ilo linakuwa tatizo la driver, so ingia internet kama utaweza kwa pc hiyo au kama ukishindwa tumia pc nyingne kutafuta driver za usb kisha burn kwenye cd baada ya hapo install zitarud fresh.