Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

wakuu naomba msaada PC yang inaandika grand theft auto vc cannot find enough available video memory nikitaka kucheza GTA tatizo nini msaada
 
wakuu naomba msaada PC yang inaandika grand theft auto vc cannot find enough available video memory nikitaka kucheza GTA tatizo nini msaada
Video card yako ina uwezo mdogo kulinganisha na mahitaji ya game unayotaka kucheza kwenye PC.
 
Kioo yaani display ya acer minlaptop bei gani na nqpata wapi
 
PC yangu niliiangusha sasa hivi nikiiwasha inastart wakati inaload ili iwake kabisa inastuck haindelei ili iwake kabisa inabaki na black screen lakini nikiizima halafu niiwashe tena ndo inakubali kuwaka vizuri, sasa tatizo inaweza ikawa nini na solution yake ni nini?
 
Same problem kaka nimeomba msaada wiki sasa but haujapatikana
Tatizo hilo sometimes linatokana na button ya brightness kujipress moja kwa moja has a kwa lenovo za kisasa je PC yako in aina gani
 
Mkuu Mimi ni Mpenzi wa magemu Sana.. .msaada!! Pc yangu ni i5 core 2.40 GHz RAM 7 M520..
Sasa juzi nilikuta game flani hivi ila requirement za PC ili uweze kucheza hiyo game vizur ni i3 core 3 GHz RAM 4

Sasa swali je nikiliweka kwenye pc yangu litacheza sababu kwenye core mm nipo juu hapo kwenye GHz ndo napata mashaka...

Msaada!
Litakaa tu ila uwe updated kwenye upande wa drivers ila linaweza kuwa slow than normal speed
 
fundi mzuri wa PC hardware anayeweza kurekebisha short katika motherboard hasa za dell, maana ukiichomeka adapter tuu pc haiwaki na adapter inazima. NAHITAJI MSAADA WA UTATUZI HUO NIPO DAR BAMAGA
Pm kama uko dar na unaweza fika kkoo
 
Ja
Natumia windows 7 profesional hizo dakika 2 nikiwa natumia au situmii in all conditions na km nikiiacha kuna mda mwanga unakuja na kuondoka kama vile flash ya camera hata nikiizima nikiwasha tena haileti mwanga mpaka baada ya mda mrefu ndo nikiwasha inawaka na mwanga ila baada ya mda mfupi mwanga unapotea, ila hata km mwanga umepotea pc inakua bado ipo on na ukimurika kwa tochi ya mwanga mkali unaona kwa mbali
Jaribu external monitor alafu rudi jukwaani
 
D
Mambo vp mkuu!?

Ee bhana nina tatizo na computa yagu aina ya Dell Inspiron.

Ilikuwa na window seven pro. Sasa nimebadilisha window nimewwka window 8.
Tatizo ni kwamba window 8 inakaa vizuri lakini kila nikiweka drivers( driver pack) comptuter inazima... inashindwa kumaliza zoezi la kuweka drivers.

Sasa sijajua tatizo ni nini hapo..
Naomba msaada mkuu!!
0bedd46e18b9393ab22648fce387bcbb.jpg
Driver packs nyingi ni outdated na zitakusumbua jaribu kuupdate window yako driver zitaingia zenyewe
 
Msaada PC yangu aina ya Toshiba satellite L300,ukiwasha feni inazunguka na vile vitaa vya Mbele karbu na mouse vinawaka,lakin haidisplay chochote kwenye screen, nikajarbu external monitor lakni hamna kitu pia.
Pia nlisafisha ram na plates zake napo wap.
Je yaweza kuwa tatzo nini wakuu?
Yaweza kuwa short ya motherboard
 
Ni juzi tu nimeizima laptop yangu na ilikuwa inafanya kazi vizuri, kesho yake najaribu kuiwasha ikagoma kuwaka. Nikadhan labda chaji imekwisha nikawa nimeunganisha adapter haikuwaka pia ingawa ilionesha chaji inaingia. Baadaye nikatoa betri na kulirudisha haikuwaka tena wala haikuoneaha alama ya kuwa inaingiza chaji..
Tatizo linaweza kuwa nini?
Naombeni msaada
 
Back
Top Bottom