Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Pc yangu inarusha kwa mbaali kwenye sehemu ya keyboard..na ukihitaji kuongeza ram kutoka 2gb mpka 4gb ni sh ngapi!
Mkuu sijajua vizur bei za vitu za kila sehem, kwa ushaur kwenye mkoa ulioko nenda kwa fund wa computer nna uhakika ataweza kulitatua tatizo, maana hapo vyote vyatakiwa vibadilishwe.
 
Hellow wadau poleni na majukumu, naombe kujua zoezi hili, natumia modem kwenye pc sasa nataka kushare wireless kutoka pc to phone, nafanyaje..?
Unatumia windows gan?,
 
fundi mzuri wa PC hardware anayeweza kurekebisha short katika motherboard hasa za dell, maana ukiichomeka adapter tuu pc haiwaki na adapter inazima. NAHITAJI MSAADA WA UTATUZI HUO NIPO DAR BAMAGA
 
fundi mzuri wa PC hardware anayeweza kurekebisha short katika motherboard hasa za dell, maana ukiichomeka adapter tuu pc haiwaki na adapter inazima. NAHITAJI MSAADA WA UTATUZI HUO NIPO DAR BAMAGA
Umepata msaada?
 
Angalia sim yako setting zake za internet kama zinaruhusu wifee
 
week 1 ilopita nlipata tatzo kama hlo, nkakuta boot loader ina shida, solution ni kununua hard disk ingine, kisha hyo ubadili kuwa external
Hili tatizo linatatulika pasipo kubadilisha hard disk
 
Wadua mashine yangu haitunzi moto,

Betrii ni jipyana kipindi cha kama week mbili zimeisha lilikuwa poa tu

Niliangalia movie usiku nikasahau kuizima so ikazima yenyewe baada ya kuishiwa charge,

Sasa kesho yake nimeiwasha betri haijai inabaki zero mpka mwisho
9a9a198685783e998cf31d47a6261cd8.jpg
 
Kama ujafanikiwa bado, ilo betri Lako linaonekana liliisha kabisa sasa cha kufanya weka pc yako kwenye chaji ukiwa ujaiwasha kwa masaa kadhaa ili betri liweze kujucharge vizur
 
Kama ujafanikiwa bado, ilo betri Lako linaonekana liliisha kabisa sasa cha kufanya weka pc yako kwenye chaji ukiwa ujaiwasha kwa masaa kadhaa ili betri liweze kujucharge vizur
Shukrani mkuu nilifanikiwa na napiga mzigo kama kawa
 
Msaada PC yangu aina ya Toshiba satellite L300,ukiwasha feni inazunguka na vile vitaa vya Mbele karbu na mouse vinawaka,lakin haidisplay chochote kwenye screen, nikajarbu external monitor lakni hamna kitu pia.
Pia nlisafisha ram na plates zake napo wap.
Je yaweza kuwa tatzo nini wakuu?
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Mambo vp mkuu!?

Ee bhana nina tatizo na computa yagu aina ya Dell Inspiron.

Ilikuwa na window seven pro. Sasa nimebadilisha window nimewwka window 8.
Tatizo ni kwamba window 8 inakaa vizuri lakini kila nikiweka drivers( driver pack) comptuter inazima... inashindwa kumaliza zoezi la kuweka drivers.

Sasa sijajua tatizo ni nini hapo..
Naomba msaada mkuu!!
0bedd46e18b9393ab22648fce387bcbb.jpg
 
Habari zenu waungwana nina tatizo pc inawaka vizuri ila baada ya dakika 2 au 3 inapoteza mwanga kabisa yani pc inakua on ila display haioneshi nimejarib kuikagua nikaona mwanga umepotea kabisa, itakua na tatizo gani? Pc ni hp pavilion dm 1
 
Ok!
*Unatumia window gani?
*Hizo dk 2 unakuwa hautumii?
*Inapopoteza mwanga,kuiwasha inawaka kawaida au inabid kuizima kisha unaiwasha tena?
 
Ok!
*Unatumia window gani?
*Hizo dk 2 unakuwa hautumii?
*Inapopoteza mwanga,kuiwasha inawaka kawaida au inabid kuizima kisha unaiwasha tena?
Natumia windows 7 profesional hizo dakika 2 nikiwa natumia au situmii in all conditions na km nikiiacha kuna mda mwanga unakuja na kuondoka kama vile flash ya camera hata nikiizima nikiwasha tena haileti mwanga mpaka baada ya mda mrefu ndo nikiwasha inawaka na mwanga ila baada ya mda mfupi mwanga unapotea, ila hata km mwanga umepotea pc inakua bado ipo on na ukimurika kwa tochi ya mwanga mkali unaona kwa mbali
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
nahitaji kubadilisha touch digitizer ya Nokia 6... kama unayo naomba uniPm
 
Mkuu Mimi ni Mpenzi wa magemu Sana.. .msaada!! Pc yangu ni i5 core 2.40 GHz RAM 7 M520..
Sasa juzi nilikuta game flani hivi ila requirement za PC ili uweze kucheza hiyo game vizur ni i3 core 3 GHz RAM 4

Sasa swali je nikiliweka kwenye pc yangu litacheza sababu kwenye core mm nipo juu hapo kwenye GHz ndo napata mashaka...

Msaada!
 
monitor haidisplay lakin mashine imewaka vzuri ukizima monitor ukiwasha inaonyesha vzur the suddenly tena inakataa kudispay naomba msaada
 
monitor haidisplay lakin mashine imewaka vzuri ukizima monitor ukiwasha inaonyesha vzur the suddenly tena inakataa kudispay naomba msaada
Same problem kaka nimeomba msaada wiki sasa but haujapatikana
 
Back
Top Bottom