Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

hello wadau hii tuafanye na tupeane ushauri amabao kila mmoja ataelewa usifikiria ku benefit financial just tu share ya ujuzi miiii sana nipo kwenye matter bout PC
 
Mkuu PC yangu DELL Inspiron zile za zamani saana sjaitumia muda mrefu. Sa nimeiwasha inawaka vzur Windows XP ila inamandishi mabaya sana mkuu, yan hata ikiandika Googke mandishi hayana mvuto (sio HD). naomba ushauri
 
Pia PC yangu mkuu inakamata wireless but inachagua. Wirelss kwa simu ya jamaa inakubali but kwa simu yangu inakataa na sikuwah kuunga hapo kabla
 
Jaman nina pc yang ya Ibook G4 sasa tatzo lake ni hua inawaka kwa shida ad niipigepige kidogo kwene Keybord na ikikaa kigogo inazma.. Je tatzo ni nini wadau
 
Mkuu nina hp laptop inawaka ikikaa mda wa daki 20 inazima ghafla, ukichomoa na kuchomeka waya wa umeme taa mbili zina bling na kuzima kimoja hapo mpaka ipoe, upande wa feni kwa dakika hizo inafanyakazi feni inakuwa inazunguka. Laptop ikizima kuja kuwaka tena mpaka lisaa lipite ndipo itawaka itafanya kazi ndani ya nusu saa inazima. Tatizo itakuwa ni nini?
 
Wakuu ni Software gani nzuri kwaajili ya Data recovery?
 
Natafuta computer desktop bland yoyote iwe core i7 ya generation 3 au 4 nitafute kwa namba hii 0655090000
 
Mkuu nina hp laptop inawaka ikikaa mda wa daki 20 inazima ghafla, ukichomoa na kuchomeka waya wa umeme taa mbili zina bling na kuzima kimoja hapo mpaka ipoe, upande wa feni kwa dakika hizo inafanyakazi feni inakuwa inazunguka. Laptop ikizima kuja kuwaka tena mpaka lisaa lipite ndipo itawaka itafanya kazi ndani ya nusu saa inazima. Tatizo itakuwa ni nini?

mkuu hapo kuna maswali mawili au lipo moja tu??

kama lipo moja basi ishu kubwa ni kuwa pc yako inakuwa over-heat ndio inaleta matatizo yote so chakufanya fungua pc yako isafishe fresh na kwenye procesor paka paste nyingne inaweza kukusaidia

kama ni swali zaidi ya moja karibu tena kuuliza mkuu
 
Pia PC yangu mkuu inakamata wireless but inachagua. Wirelss kwa simu ya jamaa inakubali but kwa simu yangu inakataa na sikuwah kuunga hapo kabla
Km umeweka window 8.1 au 10 ndiyo matatizo yake.
Unatumia simu gani? Na umeweka window (os) ipi?
 
Mkuu PC yangu DELL Inspiron zile za zamani saana sjaitumia muda mrefu. Sa nimeiwasha inawaka vzur Windows XP ila inamandishi mabaya sana mkuu, yan hata ikiandika Googke mandishi hayana mvuto (sio HD). naomba ushauri
Kumbuka window xp ishapigwa stop yaan ishaisha matumizi kwahiyo km utaweza piga window upya km window 7,8 au 10
 
Natafuta computer desktop bland yoyote iwe core i7 ya generation 3 au 4 nitafute kwa namba hii 0655090000
Ni vizuri ukienda kweny maduka yanayouza computer. Hii kwa mtu mwisho utauziwa mbuzi kweny gunia. Unaweza kwenda Kariakoo
 
Yakwangu gateway ya zaman kidogo Ila haisom hard disc
Hiyo hard disk ni internal au external?
Km ni internal inakupa ujumbe gani ukiwasha pc?
Ok! Fanya hivi. Fungua pc yako, chomoa hard disk kisha irudishie vizuri huenda imelegea ndiyo maana haionekani
 
Mkuu nina hp laptop inawaka ikikaa mda wa daki 20 inazima ghafla, ukichomoa na kuchomeka waya wa umeme taa mbili zina bling na kuzima kimoja hapo mpaka ipoe, upande wa feni kwa dakika hizo inafanyakazi feni inakuwa inazunguka. Laptop ikizima kuja kuwaka tena mpaka lisaa lipite ndipo itawaka itafanya kazi ndani ya nusu saa inazima. Tatizo itakuwa ni nini?
Tatizo thermal paste imeisha kwenye processor hivyo joto linalozalishwa linashindwa kupoozwa na feni.
Km unaweza kanunue thermal paste, kisha fungua pc yako na uipake kweny processor.
Epuka. Kutumia pc huku umeiweka kwenye godoro au nguo au material yyte km hayo yanayozuia pc yako kutopumua kitu kingine pc yako ikiwa fully charged chomoa adapter utumie umeme uliopo kweny betri
 
Mambo ya kitaalam haya aisee ..ngoja nifuatilie page by page mpaka nifike page 28
 
Back
Top Bottom