Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

wakuu nina teckn w4 niki washa inandika upgrind app 1 ya 63 aiyendelei ina tatizo gani
 
Mkuu uliweza,maana tatizo kama lako nimekumbana nalo,

jw library
hapana mkuu
kuna mtu aliweka earphone bila kufanya settings kumbe, nimeitulizia tu hadi sasa maana kunamtu anasema spika labdazimefeli .
sijapata suluhisho
 
pc yangu, ina niambiaa unmounted error. kila ninapo jaribu kushusha window haifanikiwi kumaliza process hii...., inaishiaa kusema automatic repair tu....,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Habari mkuu. Naomba msaada wa namna ya kuongeza ukubwa wa RAM ambayo ni 3 GB ifikie 4 au 8 GB.
computer ni Dell laptop
 
Nina desktop yangu night Hp compaq
Dual core 2
Ram 2
Nilinua used dsm..... Lakini hivi karibuni nimekuwa Niki iwasha ina piga beep teno na taa nyekundu ina waka.... Alafu ina zima.... Nikaifungua na kuicheki... Nikakuta processer... Haina therm compound imeisha.... But bado sijaongeza... Naomba kama... Kuna ushauri zaidi
 
Kiongozi mambo vipi
Mimi nina PC desktop aina ya hp Intel core 2 duo E7500 yeny ram 8 GB na nimefunga hard disk 3 za ukubwa wa 500 Gb, 1000 GB na 1500 GB
Sasa nilikuwa nataka niitoe hiyo hard disk ya 500 Gb ili niweke ya 3 TB aina ya seagate ila kila nikiiweka hiyo hard disk kwenye mashine haionekani.
Je kuna njia nyingine ya kupitia ili hard disk ya 3 TB isome kwenye pc yangu??
 
PC yangu nikiiwasha inaandika "Operating System Not Found" nikashauriwa Ku reconnect hard disk nikafanya hivyo lakini bado tatizo lipo. Naomba msaada Tafadhali.
 
pc yangu, ina niambiaa unmounted error. kila ninapo jaribu kushusha window haifanikiwi kumaliza process hii...., inaishiaa kusema automatic repair tu....,

Sent using Jamii Forums mobile app

kama ujapata ufumbuz wa tatizo lako naweza nikakupa ushauri mkuu

kwanza tatizo la Unmountable_Boot_Volume uwa linasababishwa na vitu vitatu

  1. Boot Volume Corrupted
  2. Corrupted Files Of Your Windows
  3. HDD Got Faulty
#1
hii inahusiana sana na pale unapofanya installation au inawezekana ikawa windows yako ambayo tayar ushaifanyia installation inasumbua kwasababu ya windows system imekuwa corrupted kwahiyo kama upo kwenye installation ya windows mpya basi badilisha na tumia package nyingine (kama unaweza pata mtu mwingine wakukupa img nyingne basi jaribu hiv)

#2
hii mostly inatokea ikiwa tayar ushafanya installation ila labda virus wameharibu windows files system sana zaidi ni kwenye (system 32) jinsi ya kusolve hii ni kufanya repair ya winows au kudownload baadhi ya third party software za kufanya repair ya windows kama (cc cleaner, zookware cleaner).

#3
hapa ni hardware kwa sana kama hdd yako imeanza kuaribika au ishaarbka basi lazima ikuletee hii warning kila muda wakat wa kufanya installation kwaiyo kama unahisi inawezekana ni tatizo basi jarbu kuweka hdd nyingne afu uone kama inakubal kukaa windows

kama ukitaka maelezo zaidi soma hapa unmountable boot volume

Habari mkuu. Naomba msaada wa namna ya kuongeza ukubwa wa RAM ambayo ni 3 GB ifikie 4 au 8 GB.
computer ni Dell laptop

kwa nilivyokuelewa mkuu unamaanisha unataka kuongeza ram ya 3gb---8gb , inawezekana but baadh ya pc zina ukomo wa luongeza ram yan minimum--maximum recommendations kwaiyo kabla ujaongeza basi angalia pc yako mwisho wa ram yake ni ngapi, kuweka ram baadhi ya laptop nyng sehem ya ram ipo peke ake kabisa auna haja ya kufungua kava lote na pia angalia ram yako ni ipi kabla ujaenda kununua na kama una plan ya kuweka mwenyew zipo hizi(sdram,ddr,rdram n.k)
 
Nina desktop yangu night Hp compaq
Dual core 2
Ram 2
Nilinua used dsm..... Lakini hivi karibuni nimekuwa Niki iwasha ina piga beep teno na taa nyekundu ina waka.... Alafu ina zima.... Nikaifungua na kuicheki... Nikakuta processer... Haina therm compound imeisha.... But bado sijaongeza... Naomba kama... Kuna ushauri zaidi
Jaribu kuchomoa ram halafu uirudishie
 
Nina desktop yangu night Hp compaq
Dual core 2
Ram 2
Nilinua used dsm..... Lakini hivi karibuni nimekuwa Niki iwasha ina piga beep teno na taa nyekundu ina waka.... Alafu ina zima.... Nikaifungua na kuicheki... Nikakuta processer... Haina therm compound imeisha.... But bado sijaongeza... Naomba kama... Kuna ushauri zaidi

mkuu kama ujapata solution ni hivi

ukiwa pc yako ikiwa inapiga hizo beep fanya hivi

beep 1=video card
beep2-3=ram
beep zikizid zaid=processor

#1
kama unaweza toa video card isafishe sana zaid kama kuna vumbi kisha irudishie

#2
fanya kam ulivyofanya kwenye video card zitoe alafu zisafishe zirudishie hakikisha zimekaa vizur na ziwe zimebana zisiwe zimelegea hata kidogo.

#3
hapa pia ichomoe processor kisha safisha ile thermal paste iliopo kisha nunua nyingne kisha upake tena na kwa ushauri unaofanya hivyo akiksha processor ipo kwenye slot yake na baada ya kuipaka hapo juu kisha uikaze processor yako tena usiiache loose muda mrefu hata kidogo
 
Back
Top Bottom