Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

PC yangu imekuwa slow sana siku hizi,inaload mpaka kero nikiwasha inachukua dakika 10 kuwaka vizuri na kurespond ndo hvyo inadelay,mwenye idea na tatizo,ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
google playstore inataka google accounts kwaiyo kama unatumia kampuni nyingne basi itakupa shida na itataka lazima uwe na account yao, unapofungua google account inakupa access ya kila kitu kama youtube,playstore,news,gmail,google+,hangouts na vingine ving, kwaiyo sijajua umetumia email gan ambayo inakugomea kuwa connected na playstore
Okey asante, email yangu ni Gmail naomba unisaidie emails za Google ni zipi ili niweze ku create
 
Gmail ni email ya Google

# #
Kama unaweza nitumie kwa message hiyo email yako then nikwambie ni Gmail au sio

Pirate
 
PC yangu imekuwa slow sana siku hizi,inaload mpaka kero nikiwasha inachukua dakika 10 kuwaka vizuri na kurespond ndo hvyo inadelay,mwenye idea na tatizo,ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchelewa kuwaka kwa pc ni matatizo mengi kwa mfano

# 1 : boot up apps ni nying kwaiyo pc inapowaka nazo zinawaka lazima hata kama muda wa kuwaka utaongezeka pia, kwaiyo jarb kuzipunguza apps za kuwaka wakat wa windows inapowaka au zinaitwa Start up app

# 2:virus uwa wanachangia pia kuwa slow na wakat wa kuwaka kwasabab baadhi ya system files zimeshaarabiwa kwaiyo ni kama ugonjwa unaanza pole pole na badae labda itagoma hata kuwaka kabisa

# 3: Muda mwingine uwa inasababishwa na hardware kwaiyo labda Kuna uchafu mwing sana kwenye pc yako mostly kwenye fan

Pirate
 
hapana usiweke adobe kama ni tatizo la saut,

kama driver ipo basi fanya hivi right click hiyo icon ya sauti, kisha chagua option ya pili imeandikwa playback devices then chagua speakers kama ukikuta aijaweka tick basi right click sehemu ya speakers kisha kwa chini hapo click iwe SET DEFAULT. kisha itarudi vizur kama tatizo ni ilo hapo
Mkuu mimi,tick ipo ila set as default haipo active kuiclick

jw library
 
OK jarb kutoa ram na CPU kisha zirudishie Tena then uku naendelea kuangalia solution

Pirate
Mkuu computer imegoma kuboot window kwenye flash, hapo nyuma ilikuwa ina boot km kawaida. Msaada tafadhali
 
NILIKUA NABADILISHA WAYA UNAOTOKA KWENYE ADAPTOR KWENDA KWENYE PC ACCIDENTALLY NIKAWA NIMEKOSEA ALIGNMENT YA TERMINALS NILIVYO PLUG KWENYE PC PC IKAZIMA......NIKA FIX KOSA LAKINI KILICHOTOKEA NI KWAMBA BETRI IMEKUA HAIINGIZI CHARGE TENA.....ADAPTOR INAFANYA KAZI VIZURI NA NIMEIPIMA IKO SAWA LAKINI NDIYO BETRI HAINGIZI MOTO.......TATIZO LAWEZA KUWA NI NINI....NATANGULIZA SHUKRANI KWA USHAURI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu computer imegoma kuboot window kwenye flash, hapo nyuma ilikuwa ina boot km kawaida. Msaada tafadhali
Umeenda kujarbu kubadilisha boot up options kwanza mkuu?

Pirate
 
NILIKUA NABADILISHA WAYA UNAOTOKA KWENYE ADAPTOR KWENDA KWENYE PC ACCIDENTALLY NIKAWA NIMEKOSEA ALIGNMENT YA TERMINALS NILIVYO PLUG KWENYE PC PC IKAZIMA......NIKA FIX KOSA LAKINI KILICHOTOKEA NI KWAMBA BETRI IMEKUA HAIINGIZI CHARGE TENA.....ADAPTOR INAFANYA KAZI VIZURI NA NIMEIPIMA IKO SAWA LAKINI NDIYO BETRI HAINGIZI MOTO.......TATIZO LAWEZA KUWA NI NINI....NATANGULIZA SHUKRANI KWA USHAURI

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mkuu ni hiv..
Bettery Ina style ya Aina style ya kufa (though sijajua pc yako Ina muda gani ad leo) but unaweza ukawa umeitafutia chanzo

Au

Jarbu kufata njia hizi kama itaweza kutatua tatizo

_Jarbu kubadilisha charger/tumia nyingne
_angalia hapo ambapo unachomeka kwenye pc (cord) kama panaweza kuwa na tattzo lolote ambalo unaweza ukafix
_Jarbu kufanya update ya drivers ya bettery
_chomoa Bettery kwa muda fulan Kisha tumia pc bila Bettery kwa muda ambao lipo nje, Kisha Zima rudisha Tena

Pc yangu ina miaka miwili mpaka sasa
Na mpaka inaleta hiyo shida ilikua na uwezo wakukaa 3 to 4 hrs
Charger nimebadili ila tatizo palepale na hiyo charger ilokua imezingua niliifix iko vizuri sahizi manake ndiyo hiyo natumia mpaka sasa inawasha pc fresh kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo yalikua yananiambia yawezekana labda nili i discharge battery but sijajua naweza kuiboost vipi.....manake sitaki kuamini kama ndiyo ntakua nimeiua battery

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchelewa kuwaka kwa pc ni matatizo mengi kwa mfano

# 1 : boot up apps ni nying kwaiyo pc inapowaka nazo zinawaka lazima hata kama muda wa kuwaka utaongezeka pia, kwaiyo jarb kuzipunguza apps za kuwaka wakat wa windows inapowaka au zinaitwa Start up app

# 2:virus uwa wanachangia pia kuwa slow na wakat wa kuwaka kwasabab baadhi ya system files zimeshaarabiwa kwaiyo ni kama ugonjwa unaanza pole pole na badae labda itagoma hata kuwaka kabisa

# 3: Muda mwingine uwa inasababishwa na hardware kwaiyo labda Kuna uchafu mwing sana kwenye pc yako mostly kwenye fan

Pirate
Ahsante kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeenda kujarbu kubadilisha boot up options kwanza mkuu?

Pirate
Ndiyo Nimeingia lkn sijaona option ya usb. Nimeona ya cd-rom na legacy support na zote zipo enabled. Msaada tafadhali
 
Nina smartphone aina ya iPhone ambayo ni iphone 5s haitaki kuwaka mpaka iwe updated nikiiupdate inaenda mwishowe inaandika error 4013 occured,pia nikiiwasha inatokea red screen,je tatizo linaweza kuwa nini,naombeni msaada juu ya tatizo hilo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom