Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

mkuu kama ujapata solution ni hivi

ukiwa pc yako ikiwa inapiga hizo beep fanya hivi

beep 1=video card
beep2-3=ram
beep zikizid zaid=processor

#1
kama unaweza toa video card isafishe sana zaid kama kuna vumbi kisha irudishie


#2
fanya kam ulivyofanya kwenye video card zitoe alafu zisafishe zirudishie hakikisha zimekaa vizur na ziwe zimebana zisiwe zimelegea hata kidogo.

#3
hapa pia ichomoe processor kisha safisha ile thermal paste iliopo kisha nunua nyingne kisha upake tena na kwa ushauri unaofanya hivyo akiksha processor ipo kwenye slot yake na baada ya kuipaka hapo juu kisha uikaze processor yako tena usiiache loose muda mrefu hata kidogo
Kuongezea hapo achomoe ram kisha aisafishe na airudishie. Ishawahi kunikuta hii issue nilikuwa na deal na ram
 
pc yangu, ina niambiaa unmounted error. kila ninapo jaribu kushusha window haifanikiwi kumaliza process hii...., inaishiaa kusema automatic repair tu....,

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta software inayoitwa EASEUS PARTITION WIZARD.
Kisha install kweny pc yako, kisha ifungue. Tafuta flash yyte. I format halafu nenda sehemu palipoandikwa create bootable flash
ikishamaliza. Zima pc chomeka flash yako i boot km unapiga window nenda sehemu iliyoandikwa easeus partition wizard click hapo. Itafunguka nenda sehemu palipoandikwa repair mbr system ikishamaliza chomoa flash. Kazi imekwisha.
Mbr system imecorrupt. Jaribu hii njia ni simple sana. Inasaidia kufix corrupt problems zote.
 
Wakuu PC yangu lenovo-thinkpad, window xp, nikiweka document PDF inafunguka maandishi hayaeleweki, sijui ndo virus! Msaada tafadhali

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Tumia Sumatra hii ndiyo mwisho wa maneno.
Mfano. Ukisoma document yako . Ukishamaliza. Siku unataka kusoma tena. Unaifungua utakuta kitabu chako hapo, kwahiyo utaendelea ulipoishia. Hata ukiselect kitabu chako utaanza ulipoishia. Hii ndiyo raha ya sumatra.
 
Kiongozi mambo vipi
Mimi nina PC desktop aina ya hp Intel core 2 duo E7500 yeny ram 8 GB na nimefunga hard disk 3 za ukubwa wa 500 Gb, 1000 GB na 1500 GB
Sasa nilikuwa nataka niitoe hiyo hard disk ya 500 Gb ili niweke ya 3 TB aina ya seagate ila kila nikiiweka hiyo hard disk kwenye mashine haionekani.
Je kuna njia nyingine ya kupitia ili hard disk ya 3 TB isome kwenye pc yangu??

kwa maelezo mafupi mkuu inawezekana ikawa hiyo motherboard inashindwa kutambua kama utaifanya iwe boot drive, kwaiyo kwa ushauri tu jaribu kuitumia kama external kama itakubal, na hii inatokana na kuwa labda motherboard yako ni ya zaman kidogo, pia muda mwingine processor inaweza ikashindwa kuisukuma hdd yako hiyo ya 3tb
 
Computer yangu inaitwa pack hardbell
Inatatizo la kufa battery cjui ntapata wapi spare yake nimetafuta sana APA bongo cjapata...
Msaada wenu wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kufa kwa betri inatokana na adaptor.
Kwenye screen ya pc angalia sehemu ya betri. Km inaandika ''connected not charging'' hapo ni kati ya betri au adaptor. Chunguza utapoteza bure pesa kumbe tatizo ni adaptor.
Km haujapata betri jaribu kuagiza online km ebay na amazon. Kariako umejaribu kuulizia mkuu?
 
PC yangu nikiiwasha inaandika "Operating System Not Found" nikashauriwa Ku reconnect hard disk nikafanya hivyo lakini bado tatizo lipo. Naomba msaada Tafadhali.

uwa inawezekana kukawa na hivi vitu jaribu kufatilia mkuu

#1 BAD BIOS CONFIGURATIONS
#2 BCD IS DAMAGED
#3 DATA CABLE FAULTY

#1
kama ukiona tatizo alijapona basi jarbu kuangalia mpangilio wa BIOS settings zako nenda kwenye boot kisha chagua hard-drive iwe first kuwa boot na angalia kama imeonekana pia mkuu kama haijonekana tatizo lipo kwenye hard drive yako

#2
hii ni kama vile bootmanager corrupt/missing na kusolve hii ni kudownload EASY RECOVERY ESSENTIALS

(LINK IPO HAPO HAPO)
kisha burn kama bootable kwenye cd alafu boot kwenye hiyo pc kisha fata kam kwenye picha hapa

EasyRE-Home.png


Select-Drive-to-Repair-Generic.png


Automated-Repair.png


windows-xp-vista-7-8-boot-screen.png


inawezekana ikakusaidia mkuu jaribu

#3

hapa labda sehem ya kuunganisha hdd drive imesumbua basi angalia njia ya kuibadilisha mkuu kama ukishindwa hata baadhi ya mafundi wanaweza kukusaidia
 
kwa nilivyokuelewa mkuu unamaanisha unataka kuongeza ram ya 3gb---8gb , inawezekana but baadh ya pc zina ukomo wa luongeza ram yan minimum--maximum recommendations kwaiyo kabla ujaongeza basi angalia pc yako mwisho wa ram yake ni ngapi, kuweka ram baadhi ya laptop nyng sehem ya ram ipo peke ake kabisa auna haja ya kufungua kava lote na pia angalia ram yako ni ipi kabla ujaenda kununua na kama una plan ya kuweka mwenyew zipo hizi(sdram,ddr,rdram n.k)
Nashukuru mkuu. Je nawezaje kuangalia ukomo wa RAM?

Pia hiyo sehemu ya kuongeza ukubwa wa ram bila kufungua cover yoyote inapatikanaje?
 
Nashukuru mkuu. Je nawezaje kuangalia ukomo wa RAM?

Pia hiyo sehemu ya kuongeza ukubwa wa ram bila kufungua cover yoyote inapatikanaje?
taja pc yako nikuelekeze mkuu
 
Msaada nahitaji Ku install Android apps kwenye windows phone Nokia Lumia 520
 
Nisaidie simu yangu ni samsung duos
19082 huwa inazima niwaopo online yaani inanikera sijajua wapi lilipo tatizo labda ni software au nini yaani nikiwasha data line inayosukuma 4g na 3g nikosa labda h+ hapo ndio haizimiki nini shida waungwana
 
Mkuu computer imegoma kuboot window kwenye flash, hapo nyuma ilikuwa ina boot km kawaida. Msaada tafadhali
week 1 ilopita nlipata tatzo kama hlo, nkakuta boot loader ina shida, solution ni kununua hard disk ingine, kisha hyo ubadili kuwa external
 
Nina pc Samsung 300E leo ghafla kioo kimeanza kunesha mistar mistar wakat nachek muvie. Wat a prob
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
itasidia sana hii just tusiwe wachoyo real tuwe active
 
Back
Top Bottom