yoezadabest
Member
- Jun 27, 2015
- 28
- 13
This window is not gunine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video card yako ina uwezo mdogo kulinganisha na mahitaji ya game unayotaka kucheza kwenye PC.wakuu naomba msaada PC yang inaandika grand theft auto vc cannot find enough available video memory nikitaka kucheza GTA tatizo nini msaada
sasa nifanye nini mkuu apo au ndy basi tenaVideo card yako ina uwezo mdogo kulinganisha na mahitaji ya game unayotaka kucheza kwenye PC.
Nipo hapa. Eleza shida ni nini?Mafundi wa PC wazuri naweza pata wap kwa dar
Njoo kkoo tupo mkuu...Mafundi wa PC wazuri naweza pata wap kwa dar
je setup yake unayoNataka niweke Microsoft Office nisaidieni
Hapo unatakiwa ku-activate kwa kutumia window loader/activator..japo use na loader ya uhakikaThis window is not gunine
Tatizo hilo sometimes linatokana na button ya brightness kujipress moja kwa moja has a kwa lenovo za kisasa je PC yako in aina ganiSame problem kaka nimeomba msaada wiki sasa but haujapatikana
Litakaa tu ila uwe updated kwenye upande wa drivers ila linaweza kuwa slow than normal speedMkuu Mimi ni Mpenzi wa magemu Sana.. .msaada!! Pc yangu ni i5 core 2.40 GHz RAM 7 M520..
Sasa juzi nilikuta game flani hivi ila requirement za PC ili uweze kucheza hiyo game vizur ni i3 core 3 GHz RAM 4
Sasa swali je nikiliweka kwenye pc yangu litacheza sababu kwenye core mm nipo juu hapo kwenye GHz ndo napata mashaka...
Msaada!
Pm kama uko dar na unaweza fika kkoofundi mzuri wa PC hardware anayeweza kurekebisha short katika motherboard hasa za dell, maana ukiichomeka adapter tuu pc haiwaki na adapter inazima. NAHITAJI MSAADA WA UTATUZI HUO NIPO DAR BAMAGA
Internet ipi ya modem, cable au wirelessMsaada wadau HP elite book haifungui internet nipeni mwongozo nifanyeje?
Jaribu external monitor alafu rudi jukwaaniNatumia windows 7 profesional hizo dakika 2 nikiwa natumia au situmii in all conditions na km nikiiacha kuna mda mwanga unakuja na kuondoka kama vile flash ya camera hata nikiizima nikiwasha tena haileti mwanga mpaka baada ya mda mrefu ndo nikiwasha inawaka na mwanga ila baada ya mda mfupi mwanga unapotea, ila hata km mwanga umepotea pc inakua bado ipo on na ukimurika kwa tochi ya mwanga mkali unaona kwa mbali
Driver packs nyingi ni outdated na zitakusumbua jaribu kuupdate window yako driver zitaingia zenyeweMambo vp mkuu!?
Ee bhana nina tatizo na computa yagu aina ya Dell Inspiron.
Ilikuwa na window seven pro. Sasa nimebadilisha window nimewwka window 8.
Tatizo ni kwamba window 8 inakaa vizuri lakini kila nikiweka drivers( driver pack) comptuter inazima... inashindwa kumaliza zoezi la kuweka drivers.
Sasa sijajua tatizo ni nini hapo..
Naomba msaada mkuu!!![]()
Yaweza kuwa short ya motherboardMsaada PC yangu aina ya Toshiba satellite L300,ukiwasha feni inazunguka na vile vitaa vya Mbele karbu na mouse vinawaka,lakin haidisplay chochote kwenye screen, nikajarbu external monitor lakni hamna kitu pia.
Pia nlisafisha ram na plates zake napo wap.
Je yaweza kuwa tatzo nini wakuu?