Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Laptop yangu inakula sana Data, ninapounganish kwa kutumia wifi via sim yangu. Nimejarb njia tofaut tofauti mf. Kuturn on metered connection ila cha ajabu io kitu haitak kuwa on
1525167624383.jpg
 
Laptop yangu inakula sana Data, ninapounganish kwa kutumia wifi via sim yangu. Nimejarb njia tofaut tofauti mf. Kuturn on metered connection ila cha ajabu io kitu haitak kuwa onView attachment 762498

kama bado ujapata msaada fanya hiv, badilisha hiyo connection yan kuanzia jina na kila kitu alaf, kisha hapo kwenye connection forget hiyo connection ya ADYY...., baada ya hapo uhakika iyo nyingne itakubal tu kufanya metered
 
Pirate Mimi Simu yangu ni itel 32 nikitaka kujiunga na au kuingiza vocha maneno haya yanakuja connection problem or invalid mm1 code pamoja na huduma kama mpesa tigopesa hazipatikani nikitaka kujiunga lazima nichukue Simu nyingine ndipo nijiunge tafadhali naomba msaada
 
natumia window 10 dell, inspiron... but kila nikiwasha kuna ujumbe unajirudia your window licence will expire july 30 please change product key...mkuu nini hiki
 
Wakuu, Laptop yangu inasumbua na black screen, yani unaweza iwasha sasa hivi ikawaka baada ya lisaa limoja wakati taa zote zinawaka.

Nifanye nini wakuu, laptop ni HP
 
kuu PC yng baada ya kupiga window 7 nikiweka flash haisomi

mara nyingi ilo linakuwa tatizo la driver, so ingia internet kama utaweza kwa pc hiyo au kama ukishindwa tumia pc nyingne kutafuta driver za usb kisha burn kwenye cd baada ya hapo install zitarud fresh.
 
Pirate Mimi Simu yangu ni itel 32 nikitaka kujiunga na au kuingiza vocha maneno haya yanakuja connection problem or invalid mm1 code pamoja na huduma kama mpesa tigopesa hazipatikani nikitaka kujiunga lazima nichukue Simu nyingine ndipo nijiunge tafadhali naomba msaada
Iyo simu yako hai support USSD codes yaan izo number zinazo anza na star* alternative unacho weza kufanya downloads apps za M-Pesa,Tigo Pesa via Wi-Fi
Pia jaribu kucheki app inaitwa Recharge King hua inapatikana moja kwa moja kwa simu za tecno yenyew ina Fanya kazi baada ya Ku Scan zile namba ulizo zikwangua za vocha kisha ndo ina ingia
Jaribu iz tips
Kama una warranty si bora urudishe iyo sim Mkuu?
 
Asante kiongozi
 
Habar mkuu
Nina PC yangu Dell latitude inashida kwenye kuwaka
Yaani inawaka nusu,screen ina-display lakin hainoneshi icon
 
Mi naona ingeanzishwa uzi unaohusiana na simu peke yake na computer kivyake.... Nawaza tu
 
mara nyingi ilo linakuwa tatizo la driver, so ingia internet kama utaweza kwa pc hiyo au kama ukishindwa tumia pc nyingne kutafuta driver za usb kisha burn kwenye cd baada ya hapo install zitarud fresh.
Kuna ku update pia izo driver yeye mwenyew tofauti na kudownload au kuziamisha kutoka pc nyingine
 
Back
Top Bottom