Tatizo lolote la PC/device

Natumia HP herufi ' t' haiandikiki.
 
Yani mkuu nkwamba nkifungua microsoft word ili ni type kazi..nkimaliza silazima niisevu ili baadae nihamishe kweny flash??sas nkifany hivo bado kweny flash ile kazi inaonesha iko kweny microsoft word

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Asante sana mkuu. Nilijaribu kuunganisha na desktop monitor lakini haikuwaka pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
OK now JARIBU kuangalia ram kama unaweza ukaifungua pc yako, chomoa ram na rudisha au pia jarbu kubadilisha ram nyingne sometimes kama ram zipo mbili jarbu kuweka moja moja yan unajarb moja ikikubal unajarb na nyingne ikikataa inawzekana ikawa Ina shida labda au zote zikiwa zinafanya hivyo bas jarbu kuweka ram nyingne ambazo zinaingiliana na pc yako au nunua tu ila jarbu kabla ya kununua pia

Pirate
 
Habari yako, laptop HP500 notebook speaker haitoi Sauti volume adjustment ipo full . Nikiweka speaker za nje nasikia kama kawaida, je tatizo ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
OK kwa software advice ni hiv

Inawzekana playback device ni headphones so jarbu kubadilisha na uweke system iwe default playback device

Pirate
 
Natumia HP herufi ' t' haiandikiki.
Vumbi tu hilo mkuu, kama unaweza, fungua keyboard ufute taratibu vizuri kwa weredi na uangalie vizuri ktk hiyo button ili kama kuna utando wa vumbi au kutu uukwangue taratibu! Hiyo inaweza kukusaidia mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mkuu nkwamba nkifungua microsoft word ili ni type kazi..nkimaliza silazima niisevu ili baadae nihamishe kweny flash??sas nkifany hivo bado kweny flash ile kazi inaonesha iko kweny microsoft word

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Kwaiyo kwenye flash uion??

Pirate
 
Yani mkuu nkwamba nkifungua microsoft word ili ni type kazi..nkimaliza silazima niisevu ili baadae nihamishe kweny flash??sas nkifany hivo bado kweny flash ile kazi inaonesha iko kweny microsoft word

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Mkuu, flash yako inaweza kuwa na virus wafichao mafaili, scan flash yako kwa updated antivirus!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very good! Simu yangu ya Android Techno H6, inashindwa kutambuliwa na PC yenye Window 10. Naweza kutatua vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap

Unaweza kudownload driver yake kutokea tecno official page au download drivers updater software yoyote ili iweze kudownload automatically


Hopefully it'll help you out!!

Pirate
 
Asante sana mkuu. Haya mambo ni ya Ufundi zaidi siyawezi, itabidi nipeleke kwa fundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo cha tatizo la PC yangu nilikuwa na update Bios,ikafail hvyo tu before mzigo ulikuw Vema saana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…