Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Dah maelezo zaidi mkuu hizo USB sound card ndio nini? Na zinapatikana wapi?
usb sound card
41gNQ94hKYL._SL500_AC_SS350_.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ZNM
Mkuu asante sana. Kumbe JF kuna vichwa matata sana.

PC yangu ina partition na data zote muhimu zipo kwenye D.
Hii cpu ilizingua muda sana nikahangaika nayo illiwaka last week nikaitumia ila nilivyoizima haiwaki tena.

Nikiweka window mpya. Inasome cd ila ikishafika kwenye zile arrow za kuselect cd rom ama flash disk key board inagoma. Inakuwa dormant

Ila nikingia kwenye f1 keyboars inafanya kazi.

Mkuu hapo unadhani kuna tatizo gani?
Mara nyingi hali hiyo hutokea ukiwa unainstall windows toleo jipya kwa toleo la nyuma kidogo la computer yako na hasa endapo unatumia USB keyboard!

Fanya aidha hatua hizi, kama kweli toleo la windows unaloweka ni jipya kuliko uhalisia wa machine yako, tumia toleo la windows la nyuma yake!

Mfano, kuna win xp 2002, 2006, na 2009! Ipo namna machine inasupport vizuri win xp toleo la 2002 kuliko toleo la 2009!

Pia tumia Ps2 keyboard, ile yenye connector ya mduara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu nna PC Lenovo
Natumia window 7
Ila sasa inaniandikia
The copy of window is not genuine
Msaada kwenu wakuu, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole, download file linaitwa"chew" for win7 activation!
Install and once asked to reboot the PC after installation, allow it to make changes to the system!

Hutaiona tena hiyo sms ikijitokeza na utaweza kuamua hata desktop background upendavyo! All da best!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi hali hiyo hutokea ukiwa unainstall windows toleo jipya kwa toleo la nyuma kidogo la computer yako na hasa endapo unatumia USB keyboard!

Fanya aidha hatua hizi, kama kweli toleo la windows unaloweka ni jipya kuliko uhalisia wa machine yako, tumia toleo la windows la nyuma yake!

Mfano, kuna win xp 2002, 2006, na 2009! Ipo namna machine inasupport vizuri win xp toleo la 2002 kuliko toleo la 2009!

Pia tumia Ps2 keyboard, ile yenye connector ya mduara!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina window 7 na nairudisha window hio hio, nitajaribu kutumia key board yenye vlconnector ya duara.
 
  • Thanks
Reactions: ZNM
6eb11e16dec9f3d00d74d865e5cf3bf3.jpg
hiyo windows 10 nilishajaribu kubadili adapter lakini tatizo liko pale pale, hata kufanya reset ya windows ila bado imegoma kuchaji, pia zile tutorial za youtube nishafanya ila hollaa..
Mkuu pirate nifanyeje?
Kuna siku nilitoa betri nikaichomeka ghafla ikachaji kama sekunde mbili kisha ikasimama tena. Msaada hapo

Mkuu, umejaribu kubadili betri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Asante; PC yangu inawaka lakini haioneshi chochote.Nifanyeje mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom