Tatizo lolote la PC/device

MSAADA mkuu, kuna VIRUSI flan wameingia kwenye system yangu ya PC wana badilisha program zote zinakua Zero byte, Wanasumbua sana mana Wanakula program zote zilizopo kwenye computer. Nawezaje kuwatoa?
 
MSAADA mkuu, kuna VIRUSI flan wameingia kwenye system yangu ya PC wana badilisha program zote zinakua Zero byte, Wanasumbua sana mana Wanakula program zote zilizopo kwenye computer. Nawezaje kuwatoa?

Huyo ni kama shortcut virus na Jins ya kuwatoa kama ameshaingia kwenye system ni ngumu sana kuscan na kumuondoa, na pia akishafikia hapo ujue kaizid nguvu antivirus ulokuwa nayo kwaiyo cha kufanya fanya backups ya vitu vyako kisha fanya clean installation ya windows
 
Asante mkuu

Inaweza kugharimu kiasi gani

Kama ni keyboard ya ndan Kidogo ni gharama na uwa zinafika had 60k^80k, lakin kama ni ya nje uwa sio gharama sana 30k^40k,

*hiz Bei ni kutokana na mkoa uliokuwepo *
 
Tecno K9 ilifanyiwa reset sasa kila nikitaka kuiwasha inadai google acc ile ya mwanzo na hii simu ilinunuliwa mkono kwa mtu so alikuwa akitumia google acc ya jamaa aliyemuuzia.

Mnanisaidiaje hapa?
Sasa si uweke yako we hauna?!
 
Yap...... Teena nime unstall kabsa...... Nilikuwa na SAMADAV, & AVAST....... Nimebaki na Windows defender tu.

Okay, je uwa una-disable iyo windows defender pia, pale kwenye real time protection kuwa off???
 
Terminal zote za Pc hazidect device yeyote either USB, Flash, na hata port ya internent, msaada tafadhali
 
Mkuu laptop yangu inafeli aina ya getway imekuwa nzito sana yaani saana natumia windows 7 basic inaram 1 gb halafu kwa chini inapata moto kinooma nataka iwe nyepesi tuu ili niingize autocad na kazi nayo nifanyeje??!
 
Taja model ya hiyo pc yako
 
Terminal zote za Pc hazidect device yeyote either USB, Flash, na hata port ya internent, msaada tafadhali

Em Chek Kwenye device manager zote zipo sawa au zimecorupt?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…