Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Hii hdd mwanzo ilikuwa na window ten so baada yakuitoa nakuiweka kwenyee laptops nyngne.ndo nikawaka window 7 '' kisha nika update driver kupitia app ya driver pack online

Baada yakumaliza c ndo nikaanza kuingiza pc apps mbali mbali
Lakin kila nikiingiza apps nikifungua inaleta ujumbe huo

Cjajua kwann inajaa but jarb kutafuta HDd kubwa kidogo hiyo ni ndogo sana kwa matumiz kiongozi
 
Laptop yangu imeweka mstari katikati sijui shida nn..mxaada tafadhari wakuu
1542727263382.jpeg
 
Nmeangusha HDD kutoka mezan na nlipokonekt ktk PC ilionesha partitions tu ikabid niifungue kuchek ndan kulikon! !!
Hv sasa inaspin tu pas kuonekana ktk PC.
Mwene utaalamu na HDD anisaidie coz ina vitu VYA HUMIMU ndan NNAVIHITAJI SANA
 
Inabid ufunge vizur uchek kweny hiyo actuator Tena maana ndio inasaidia kusoma kwa hard drive, ila ichek usije kuzikunja zile pin zake, ukizkunja vbaya tu unaimaliza yan
 
Nikiweka windows kwenye pc yangu haimalizi cku mbili ina. corrupt wakati mwingine niki install windows then nikazima ina corrupt hapo hapo
 
Dah afadhali..
Nna pc hp2000 sijaiwasha kitambo Ila juzi nimeiwasha inawaka lakini haidisplay chochote kioo cheusi lakini taa ya caps lock inablink kila baada ya sekunde3-4 na taa ya WI-FI inawaka full,Je tatizo linaweza kuwa nin?
 
Kwa haraka itakuwa ni ram kama una uzoefu na ufundi unaweza ukafungua sehem ambapo zinakaa itoe kama unaweza kubadilisha kuweka kwenye port nyingine au jarbu kubadili ram nyingine uone kama itamaliza tatizo
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Kwako kamanda Pirate, Nina Laptop yangu model HP yenye Processor ya 1Ghz, Ram ya 4 GB (2.99 GB Usable),System type 32-Bit, inafanya kazi slow saana mpaka inakera, Window 8 Pro
Unadhani tatizo linaweza kuwa nini ?
 
Nikiweka windows kwenye pc yangu haimalizi cku mbili ina. corrupt wakati mwingine niki install windows then nikazima ina corrupt hapo hapo

Corrupting ya windows inasababishwa na virus, na hao virus wanatokea kweny flies zako kwaiyo angalia vitu ulivyokuwa navyo, inawezekana vinasababisha ww uwe kila siku unaweka windows upya
 
Back
Top Bottom