Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Jaman msaada nna hp yangu sio ya muda sana ..ina kama mwaka na miez ni mpya ..
Ila juzi hapa nlitaka kuupdate window 10...basi nkaiacha usiku ikiwa charge maana betri ilikuwa imeisha kabisa..ila nashangaa asbuh kuangalia imemaliza kuupdate kila kitu ila ...betri halijai wala haiingizi charge ..inaandika 0%charge.not charging...na nkitoa charger inazima kabisa ...
Msaada jaman..
Simple tu ni betri imekufa mkuu...jaribu kutoa berries then weka chaji I was he... Ukiona imewaka vizuri na ile sehem ya chaj in a display kidogo ishara ya chaji, jua betri limepoteza ubora.... Costly ya betri za HP nadhani haizidi 80 mimi last term nlinunua used 48
 
Pc yangu nikiiwasha inatoa mwanga mara moja tu kuonesha ile logo ya HP then haioneshi kitu kabisa ila wakati inatoa huo mwanga kuna ka sauti fulani hutoka kwenye screen
Pia nikimulika kioo na tochi naona maandishi kwa mbali

Solution please guys
 
Vp mkuu nina sony vaio inaonesha ile symbol ya speaker ila ukiplay media yoyote hakuna sauti
Nifanyeje et
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
nimepiga window 7 ultmte ila kila nikiingiza app nikifungua znaandka un able to start correctly/error [0xc0000005] je inasababishwa na nn? je nijins gani ya ku solve hili tatizo?
 
Pc yangu nikiiwasha inatoa mwanga mara moja tu kuonesha ile logo ya HP then haioneshi kitu kabisa ila wakati inatoa huo mwanga kuna ka sauti fulani hutoka kwenye screen
Pia nikimulika kioo na tochi naona maandishi kwa mbali

Solution please guys

Kwa jinsi nilivyoelewa tatizo ni vitu viwili inventor au kioo chenyew, kama una ujuz unaweza ukavifungua mwnyw vyote na kutest kimoja kimoja kwa kutumia parts nyingine kuona kipi kibovu au nenda kwa fundi yoyote, ni tatizo linaloweza kupona.
 
nimepiga window 7 ultmte ila kila nikiingiza app nikifungua znaandka un able to start correctly/error [0xc0000005] je inasababishwa na nn? je nijins gani ya ku solve hili tatizo?

Ulishawahi ku-update hiyo windows?,
Kama unaweza fanya ku-restore kutokea ulivyofanya installation Mara ya kwanza
 
Mkuu pc yangu ni hp nikiwasha feni inazunguka inapiga kelele kma mvumo flani then inakuwa kma inatoa hewa ya moto then pc inakuwa nzito unaweza fungua kitu ina load muda

Cjajua tatizo hapo ni lipi, ila kwa kuwa slow pc ni kunakuwa na sabab

•windows imechoka
•virus
•hardware problem

Vyote inabid uchek na unapoweka windows kubwa kwenye pc ambayo aijakuwa recommended nayo pia inasababisha pc kutumia nguvu kubwa na inakuwa slow kwasabab imezidiwa nguvu .
Karbu tena
 
Jaman msaada nna hp yangu sio ya muda sana ..ina kama mwaka na miez ni mpya ..
Ila juzi hapa nlitaka kuupdate window 10...basi nkaiacha usiku ikiwa charge maana betri ilikuwa imeisha kabisa..ila nashangaa asbuh kuangalia imemaliza kuupdate kila kitu ila ...betri halijai wala haiingizi charge ..inaandika 0%charge.not charging...na nkitoa charger inazima kabisa ...
Msaada jaman..

Na kwa nyongeza nyingine,
Kama ulinunua mpya bas Chek hata charger kwanza maybe imepiga shoti, na jarb charger nyingine kabla ujafikia wazo la kununua betry mpya
 
Habarini wakuu mimi nna dell desktpo shida yangu nataka kutumia display mbili kwenye desktop je nafanyaje msaada?
 
Umechek drivers Kama zipo au zime-corrupt ?
Faza sina sana ufahamu wa mambo hayo ila niki-click kwenye speaker inaonesha ipo enabled ila sielew nini tatizo mkuu

Vp na kwenye hizo drivers kama hazipo nawekaje na kama zime-corrupt ninazi-fix vp
SHUKRAN
 
Em nijb kwanza haya maswali

• Unatumia windows gani?
• Uliweka mwenyew hiyo windows au umeekewa ?
• ilo tatizo limetokea hiv karbun au tangu ulipowekewa window?
• Na hiyo pc unaijua model yake?

Hapo itakuwa rahisi kwangu kukuelekeza cha kufanya, na kama maswali ni magumu jarbu kumuomba mtu akuelekeze jins ya kujb (*ni kwasabab umeniambia una uelewa mkubwa wa mambo Aya)
 
Habarini wakuu mimi nna dell desktpo shida yangu nataka kutumia display mbili kwenye desktop je nafanyaje msaada?

Cpu nyingi mpya zina connection mbili au zaid za video ikiwemo vga, hdmi, dvi au hdmi so kama yako unayo kwenye cpu yako itakuwa ni rahis kutafuta Waya na hiyo monitor nyingine kisha una-extend kama yako aina inabid utafute kad ya video ili uweze kufanya hivyo
 
p.c yangu Hp ina tatizo nafuta vitu kwenye hard disc E lakini baada ya mda vinajaa tena.

naambiwa memory full,nafuta vitu tena,inajaa.
 
p.c yangu Hp ina tatizo nafuta vitu kwenye hard disc E lakini baada ya mda vinajaa tena.

naambiwa memory full,nafuta vitu tena,inajaa.

Hiyo disc E ina ukubwa gan?
Na unaitumia kwa matumiz gani?
 
Windows (10) yangu ime xpaya, mwanzo nilizoea kuingiza keys flan inakuwa activated lakin sasa haikubal kuwa activated...... Msaada hapo plz
 
Ulishawahi ku-update hiyo windows?,
Kama unaweza fanya ku-restore kutokea ulivyofanya installation Mara ya kwanza
Hii hdd mwanzo ilikuwa na window ten so baada yakuitoa nakuiweka kwenyee laptops nyngne.ndo nikawaka window 7 '' kisha nika update driver kupitia app ya driver pack online

Baada yakumaliza c ndo nikaanza kuingiza pc apps mbali mbali
Lakin kila nikiingiza apps nikifungua inaleta ujumbe huo
 
Back
Top Bottom