Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hilo ni tatizo la whatsapp, wanapunguza sana quality ya picha.Wakuu ninapatwa na tatizo la picha kuwa na blur au kushuka ubora kila niwekapo Whatsapp Status.
Simu yangu ni Samsung S10+ nashangaa picha nikipiga ni quality sana but nimejaribu ku upload kwa status zinapungua ubora nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kutumia image editing software kuitengeneza picha kabisa then ndio iende kwenye status ama profile pic ama mahala pengine.
Resolution ya status ni 800x480 ama 800x600 hivyo ukisha edit save kwa hio resolutuon ndio utumie kuweka kwenye status