Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hilo ni tatizo la whatsapp, wanapunguza sana quality ya picha.Wakuu ninapatwa na tatizo la picha kuwa na blur au kushuka ubora kila niwekapo Whatsapp Status.
Simu yangu ni Samsung S10+ nashangaa picha nikipiga ni quality sana but nimejaribu ku upload kwa status zinapungua ubora nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume na status za kuweka picha wapi na wapi?
😂😂wanawaza pafupi tuu
Nasisi hatushangai mkuu...We know them better [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]wanawaza pafupi tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo ni tatizo la whatsapp, wanapunguza sana quality ya picha.
Jaribu kutumia image editing software kuitengeneza picha kabisa then ndio iende kwenye status ama profile pic ama mahala pengine.
Resolution ya status ni 800x480 ama 800x600 hivyo ukisha edit save kwa hio resolutuon ndio utumie kuweka kwenye stats
Mkuu shida hapo sio simu yako..shida ni wao whatsapp wenyenye,, wana compress picha zinazozidi size wanayo taka wao na hii inafanya ubora wa picha kupungua sana
Sasa ili kumaintain ukali wa picha zako..badilisha megapixel kweny camera yako iwe kuanzia 12MP kushuka chini..hapo ndio utaanza kupata quality kweny status zako...less megapixel , higher status quality
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume na status za kuweka picha wapi na wapi?
Mkuu nishasolve tatizo hili halipo tena aseeHaisomi nini ?
Una install driver zipi ?
Simu imeshakufa mkuu Maandishi yanacheza lkn au hkn ?JF members naomba kusaidiwa kutatua tatizo la hii simu ni Tecno Y6. Nikiiwasha haiwaki mpaka mwisho inaonyesha logo ya Tecno tu, ikionyesha hiyo logo nikibofya kitufe cha kuzimia haizimi mpaka nitoe betri.
View attachment 1283403
Wewe unajua status anaweka kitu gani au hizo picha ni za kitu gani? Whatsapp statuses ni business opportunity, wewe na akili yako fupi kama amba ruti unafikiri ni picha za show off tu.Mwanaume na status za kuweka picha wapi na wapi?
Mkuu niliwahi kusikia haya malalamiko, sikujua shida iko wapi, kumbe whatsapp wana resolution ndogo hivyo? Aisee.Mkuu shida hapo sio simu yako..shida ni wao whatsapp wenyenye,, wana compress picha zinazozidi size wanayo taka wao na hii inafanya ubora wa picha kupungua sana
Sasa ili kumaintain ukali wa picha zako..badilisha megapixel kweny camera yako iwe kuanzia 12MP kushuka chini..hapo ndio utaanza kupata quality kweny status zako...less megapixel , higher status quality
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niliwahi kusikia haya malalamiko, sikujua shida iko wapi, kumbe whatsapp wana resolution ndogo hivyo? Aisee.
Mkuu niliwahi kusikia haya malalamiko, sikujua shida iko wapi, kumbe whatsapp wana resolution ndogo hivyo? Aisee.