usb sound cardDah maelezo zaidi mkuu hizo USB sound card ndio nini? Na zinapatikana wapi?
nenda google download kingo root apk
Mara nyingi hali hiyo hutokea ukiwa unainstall windows toleo jipya kwa toleo la nyuma kidogo la computer yako na hasa endapo unatumia USB keyboard!Mkuu asante sana. Kumbe JF kuna vichwa matata sana.
PC yangu ina partition na data zote muhimu zipo kwenye D.
Hii cpu ilizingua muda sana nikahangaika nayo illiwaka last week nikaitumia ila nilivyoizima haiwaki tena.
Nikiweka window mpya. Inasome cd ila ikishafika kwenye zile arrow za kuselect cd rom ama flash disk key board inagoma. Inakuwa dormant
Ila nikingia kwenye f1 keyboars inafanya kazi.
Mkuu hapo unadhani kuna tatizo gani?
Pole, download file linaitwa"chew" for win7 activation!Habari wakuu nna PC Lenovo
Natumia window 7
Ila sasa inaniandikia
The copy of window is not genuine
Msaada kwenu wakuu, nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo window mbovu mi ishawah nitokea unakuta ina weka black screenHabari wakuu nna PC Lenovo
Natumia window 7
Ila sasa inaniandikia
The copy of window is not genuine
Msaada kwenu wakuu, nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina window 7 na nairudisha window hio hio, nitajaribu kutumia key board yenye vlconnector ya duara.Mara nyingi hali hiyo hutokea ukiwa unainstall windows toleo jipya kwa toleo la nyuma kidogo la computer yako na hasa endapo unatumia USB keyboard!
Fanya aidha hatua hizi, kama kweli toleo la windows unaloweka ni jipya kuliko uhalisia wa machine yako, tumia toleo la windows la nyuma yake!
Mfano, kuna win xp 2002, 2006, na 2009! Ipo namna machine inasupport vizuri win xp toleo la 2002 kuliko toleo la 2009!
Pia tumia Ps2 keyboard, ile yenye connector ya mduara!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, umejaribu kubadili betri?hiyo windows 10 nilishajaribu kubadili adapter lakini tatizo liko pale pale, hata kufanya reset ya windows ila bado imegoma kuchaji, pia zile tutorial za youtube nishafanya ila hollaa..
Mkuu pirate nifanyeje?
Kuna siku nilitoa betri nikaichomeka ghafla ikachaji kama sekunde mbili kisha ikasimama tena. Msaada hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapata betri, Labda unisaidie Betri zinauzwa sh ngapi?
Poa mkuu, ila kabla ya kununua kajaribu kwanza kwa mafundi! Ukibaini kuwa betri ndilo tatizo, sasa utaweza kununua!Sijapata betri, Labda unisaidie Betri zinauzwa sh ngapi?
Ninayo hp Probook G3
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante; PC yangu inawaka lakini haioneshi chochote.Nifanyeje mkuu?Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Kuna wanaonambia kwamba windows 10 huwa ina hayo matatizoPoa mkuu, ila kabla ya kununua kajaribu kwanza kwa mafundi! Ukibaini kuwa betri ndilo tatizo, sasa utaweza kununua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sound drivers zimemis mkuu! Waambie waliokubadilishia windows waweke pia drivers za sound card!Bhana naomba unisaidie pc yangu aina ya Dell inazingua sauti kutoka wamenibadilishia windo umekua shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said...!OK njia rahisi ni RIGHT CLICK, kwenye battery icon then Kuna options mbili we chagua adjust brightness then hapo unaweza kuongeza na kupunguza mwanga, hope itakusaidia!
NB:for windows based laptops only!
Pirate
Inawakaje mkuu em elezea vizur kidogoAsante; PC yangu inawaka lakini haioneshi chochote.Nifanyeje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app