Najua mkuu kuenable hidden file, Hii ni windows 10.Unajua ku enable hidden files mkuu, ni windows gani hio? Tungeanza hapa pa kuangalia files zilizofichwa.
Sawa sawa mkuuHiyo ni latest aisee, jarb kuchek kioo kina tatizo gani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu naomba nisaidie hapa.Unajua ku enable hidden files mkuu, ni windows gani hio? Tungeanza hapa pa kuangalia files zilizofichwa.
1. Fanya system restore kama kuna restore point mahala fulani.Mkuu naomba nisaidie hapa.
juu ya kuokoa mafile na vitu vyangu kwa hii laptop. Niliweka flash yenye virus bila kujua, nilipoona tu shortcuts kibao na sytem volume nikaitoa haraka.kuja kuclick kila app, kila nyimbo, kila document haifunguki!
Inaniletea hiyo sms hapo chini.View attachment 1336880
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nimefanya vyote haijawezekana.hiyo system restore haibonyezeki na malwarebyte nimeidownload google ila kwenye kuirun naletewa ujumbe huohuo hapo juu.1. Fanya system restore kama kuna restore point mahala fulani.
Click start kisha search neno system restore then angalia kama unaweza irudisha windows tarehe ya nyuma.
2. Jaribu kuweka program ya malware bytes uone kama itasaidia. Google hio program eka hata trial version.
Mkuu ukipata utatuzi naomba unitag maana nimekumbwa na majanga kama yako PC yangu ni HP piaWakuu PC yangu no HP nikiiwasha inawasha taa kuonyesha inawaka lakina mwanga haufuki kwenye kioo nimejaribu badili ram lakin wap, HHD pia akin wap nikajua ni kioo kibovu nikachimeka cha nje lakin wap tatizo lipo pale pale msaada wenu wadau
Peleka kwa Fundi tatizo ni Taa kwenye kioo ndo imekufaWakuu PC yangu no HP nikiiwasha inawasha taa kuonyesha inawaka lakina mwanga haufuki kwenye kioo nimejaribu badili ram lakin wap, HHD pia akin wap nikajua ni kioo kibovu nikachimeka cha nje lakin wap tatizo lipo pale pale msaada wenu wadau
Hio ni kwamba Setup Files zake zimelika hivo fanya Installation upya Ya hizo Program tena Hizo Zilizopo hapo ni Shortcut ambazo Hazina Target husika ya Programmkuu pc yangu nikifungua baadhi ya program inaleta ujumbe "window can not open this App" natumia window 10
peleka kwa Mafundi wafungue Hio Mashine Wafute huo ukungu Ni Kama Kiji jasho flani hivi mfano wewe usige kwenye Kioo hafu Upumue Utaona ukungu umetokea kwa kioo ndo kilichopo Hapo so fanya Hivo.Mambo vp waku nin shida pc yangu kioo kina ukungu ulianza kidgo tu sehem moja lakin sasa umesambaa kioo kizima sijajua solution nafanyaje nahitaji msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukipata utatuzi naomba unitag maana nimekumbwa na majanga kama yako PC yangu ni HP pia