Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Wakuu nina ka dell laptop nikikawasha screen iko dim wakati brightness iko 100% Tatizo nini viongozi
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate
Laptop Yangu (Acer)
Display inazingua, sometimes cursor inastuck mpaka uweke display kwenye angle Fulani ndo cursor inatembea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate

Mashine yangu aina ya mecer ina tatizo la kutowaka kwa wakati,na wakati mwingine huwaka na kupiga mzigo kama kawa,pia ina shida ya kupoteza majira wakati zamani haikuwa hivyo na miaka 8 hadi sasa.

Kama una idea na utatuzi wa hili anielekeze plse
 
Wakuu habarini! Laptop yangu ni Dell,,mwanzoni tatizo lilikuwa tu haitoi sauti, kwa Sasa hata chaji haiingizi,,yani unaiweka kwenye plug kitaa cha moto kinatetemeka tu na ni ktk wekundu wake tu,,ukiichomoa inazimika hapohapo.

Maaana hata wa mawazo wakuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kupiga window mshale umepotea mazima kwenye laptop aina ya lenovo [emoji854][emoji854], ila nikichomeka mouse naona mshale unarejea , mwenye solution anisaidie . Ili nisiwe natumia mouse

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada ninatumia laptop dell inspiron 15 model E2553 ilianza na tatizo ukiiwasha inaleta mlio wa beep x7 ndio ina display sasa imefikia sasa hv haidisplay tena inatoa mlio tu screen black hai
 
Natafuta laptop kwajili ya cad work and some games ila kila nikuchekie maduka ya online nakuta zinaanzia 2.5m na me bajeti yangu Ni 1.5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Monitor yangu imekuwa hivi wakuu..msaada tafadhalini
IMG_20200303_101028.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar ya uzima wakuu. Nina shida na software ya App ya PDF editor (for PC) ambayo ipo free katika matumizi yake. Kama kuna member anayo naomba msaada au hata maelekezo ya namna ya kuipata. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate
kaka mm PC yangu HP niliformat win 7 pro ila inawka adi kwny brand logo then inazima nifanyeje
 
pc yangu ilikata ghafla sauti lakin nikawa natumia airphone vzr tu..lakin limekuja tatzo jingine ina koroma sama uku nikiwa nasikilizia aitphone...msaada please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom