Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Mimi natumia dell latitude E6410 siku zote nilikuwa natumia window 7,kuna jamaa kaniwekea window 10 wiki iliyopita ila nikatumia kama siku 2 baada ya hapo kila nikiiwasha inaishia ile log ya window tu, nikatafuta mtu mwingine akaniwekea window 10 tena, nikatumia siku 2 kisha tatizo likawa lile lile nini tatizo hapo, ram 4gb/rom 500gb

Sent using Jamii Forums mobile app
The same ishue with my dell yaani W10 inashida imeniulia hard disk mbili za my laptop, nakupoteza taarifa kibao!

Kuja kugundua ni ina jiupdate kila nikiwa iterenet na kudownload vitu vilokuwa vinasababisha kufa kwa hizo hdd

thats why i went back to W7 na W10 uki lock isijiupdate inaleta blue screen only!!

Na kujiturn on and off!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate
Habari wakuu! Nina changamoto 2 katika pc zangu mbili.
1. Nina laptop aina ya Acer E5, tatizo lake ni kwa upande wa sauti yaani nikiiwasha, sauti haitotoka kabisa japo nikicheki driver za sauti zipo sawa...sauti inakuja kutoka endapo nikirestart windows. Nimejaribu kuupdate bios ila still hamna mabadiliko, then nimeiupgrade windows tokea Windows 8.1 pro kuja 8.1 single language, then juzi nimeiupgrade kuja windows 10 pro. Ila still hamna mabadiliko.

2. Desktop Pc aina ya Wipro inashida ambayo kila nikiiwasha, taa ya kuwakia inakuwa inablink huku feni ya processor inazunguka na kuacha alternately bila ya kuwaka kabisa. Nimebadili power supply, ram, hard disk pamoja na processor; still hamna mabadiliko na motherboard inaindicate kuwa ni nzima kwasababu ina LED ndani ambayo inawaka endapo kama ipo sawa.

Msaada tafadhali!
Asante.
 
Hello...
Mimi laptop yangu inashida pia, nahitaji mtu ambaye anaweza kunusaidia...!

Iko hivi, ilikuwa ikitumiwa ikasleep baada ya muda kunaribiwa kuwashwa ikagoma mpk muda huu, lakini taa za kuonyesha moto u aingia ktk pc zinawaka, shida ni unapoiwasha haiwaki....

Shukrani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys
DELL LATITUDE E6420 CORE i5 iko na tatizo la overheating, hasahasa wakat ikiwa pluged in, fan yake inapiga kelele tofaut na awali. Tatizo linaweza kuwa n nn hapa...
Msaada wenu watalaam wa tech..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi tatizo langu ni MOUSE ,LEFT, RIGHT CLICK BUTTONS zote hazifanyi kazi kwenye hii dell MINI laptop yangu..

Msaada..
 
Dell Inspiron N4050

Ukiunganisha sauti kwa waya kwenye subwoofer inaongea ila kwa earphone hamna kitu au ni ndogo mno nini shida
 
Habari wakuu! Nina changamoto 2 katika pc zangu mbili.
1. Nina laptop aina ya Acer E5, tatizo lake ni kwa upande wa sauti yaani nikiiwasha, sauti haitotoka kabisa japo nikicheki driver za sauti zipo sawa...sauti inakuja kutoka endapo nikirestart windows. Nimejaribu kuupdate bios ila still hamna mabadiliko, then nimeiupgrade windows tokea Windows 8.1 pro kuja 8.1 single language, then juzi nimeiupgrade kuja windows 10 pro. Ila still hamna mabadiliko.

2. Desktop Pc aina ya Wipro inashida ambayo kila nikiiwasha, taa ya kuwakia inakuwa inablink huku feni ya processor inazunguka na kuacha alternately bila ya kuwaka kabisa. Nimebadili power supply, ram, hard disk pamoja na processor; still hamna mabadiliko na motherboard inaindicate kuwa ni nzima kwasababu ina LED ndani ambayo inawaka endapo kama ipo sawa.

Msaada tafadhali!
Asante.
Shida n graphics

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hp elitebook, bluetooth yangu aishei kabisa ata kuwaka aiwaki nifanyeje kila nikitafuta Bluetooth naambiwa tu updatr nime update lakini bado shida
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate
mkuu natumia lenovo T420 Core i5 Thinkpad. Je naweza ku upgrade graphic card kutoka hii ya sasa ya 3000???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate
Naomba nifundishwe kinsi ya re-install Windows 10.
Ilikuja na laptop ila ina matatizo.Haitaki kufanya update na window defender haifanyi kazi.
 
Habari,

Laptop wakati inachajiwa inaleta meseji hii " Plugged in, not charging"

Inashindwa Kuchaji betri, tatizo linaweza Kuwa nini ?

Nimejaribu Kutumia Charger tofauti wapi, nimeweka betri Mpya wapi, tatizo bado.

Msaada Wenu tafadhari ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kuna mwamba aliwahi nisaidia tatizo kama lako. Issue siwezi kutuma namba yake hapa.
Habari,

Laptop wakati inachajiwa inaleta meseji hii " Plugged in, not charging"

Inashindwa Kuchaji betri, tatizo linaweza Kuwa nini ?

Nimejaribu Kutumia Charger tofauti wapi, nimeweka betri Mpya wapi, tatizo bado.

Msaada Wenu tafadhari ..

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUO
 
Back
Top Bottom