Bancho
Member
- Nov 20, 2018
- 72
- 68
Yeaah spectre 360 mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeaah spectre 360 mkuu
Yeaah spectre 360 mkuu
Hivi vi-pc vina tatizo la overheating sana.Wakuu laptop yangu Hp EliteBook imegoma kuwaka nikibonyeza power button. Lakini nikitoa betri nakurudisha inawaka kidogo halafu inazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna laptop ambazo unaweza ku upgrade processor . Kuna laptop ambazo hauwezi kuupgrade processor . laptop yangu ni Acer aspire E1-531 processor ni B960 lakini iliharibaka nikaweka core i3. Lakini naona computer inazima kila baada ya dakika 30.
Je Kuna mtaalamu yoyote ambaye anaweza kusolve ili tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
watu wanashindwa kutofautisha elite book na probookHivi vi-pc vina tatizo la overheating sana.
Unacheza games sana au matumizi yako makubwa kwenye hicho ki-pc ni yapi?
Exactly.watu wanashindwa kutofautisha elite book na probook
elitebook ni kwa ajir ya matumizi mepesi ya kawaida, na sio ya kutumika kwenye mazingira magumu
probook ni kwa ajiri ya kazi kubwa na ngumu kulingana na uwezo wa processor pia, then hizi computer zoote ni used na ukiangalia processor zake ni generation za zamani ambazo kuna software za kisasa ni nzito,
hivo yanapata sana moto hata ukiisafisha na ukapaka heatsink fluid
Sent using Jamii Forums mobile app
kk me computer yang ina tatz la kujizima zima alf mlango unagoma kutokaHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
kk me computer yang ina tatz la kujizima zima alf mlango unagoma kutoka
Sent using Jamii Forums mobile app
finally hapo sasa maelezo yametosha kujua tatizo
1. ukiona taa ya chaja inawaka ujue 19volts rail na startup chip iko ok
2.kwa hapo sasa tatizo liko kwenye CHIPSET(NORTH BRIDGE), MEMORY AU CPU
ss kikawaida kama sio fundi sina namna hapo ya kukuelekeza kwa sabab hautanielewa
kwanza inabid kuingiza umeme mdogo kwenye motherboard (chini ya volt 10) ili kuangalia ni kama inashot au la, kwenye hayo maeneo tarajiwa,
pia unaweza tumia multimeter kuangalia short kwa kutumia diode mode au resistance mode
ukishapata eneo lenye shorts ss una narrow down na kuanza kupima pcb compents za eneo lenye shot
-mosphets
-ceramic capacitors
-power suplies
-electrolytic capacitors
hvo ndo mara nyingi vinakuwa na shida
tatizo la computer hizo mara nyingi huwa ni kupata joto kupita kiasi kupelekea kuunguza vital components
i hope i helped, kama si rahisi kuelewa mpelekee fund aliyekaribu na ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Window 10unatumia windows ngap, na antivirus aina gani,
na ukiplay ina display error gani
mwisho taja specifications za computer yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina pc hp ram 4 gb cpu processor 2.0Ghz storage 212...nlipandishiwa window from 7 to 10.from ther ikakataa kuinstall vlc,microsoft office na software zngne..jamaa aliyepga window akasema ina virus kwa hyo haiwez kuwekwa /kuinstall software.naomba msaada nifanye nin Niweke window 10 ifanye kazi vizuri?Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Nina pc hp ram 4 gb cpu processor 2.0Ghz storage 212...nlipandishiwa window from 7 to 10.from ther ikakataa kuinstall vlc,microsoft office na software zngne..jamaa aliyepga window akasema ina virus kwa hyo haiwez kuwekwa /kuinstall software.naomba msaada nifanye nin Niweke window 10 ifanye kazi vizuri?
nipo dar kwahy hapo narekebisha vipi au nifanyajecomputer yako ina tatizo la kupata moto kutokana na mlundikano wa vumbi katika njia ya kupumulia pc, na sehem nyingine, na hata huo mlango kama haujafa tatizo litakuwa ni hilo hilo la uchafu,
unapatikana wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakijaribu kuinstall inaonesha error na kwa sasa sipo nayo karibu ila nkisafiri nitatuma picha mkuu.shukran aseUkitaka Kufanya Installation Inakwambiaje?
Kama Alifanya Clean Installation
(Alifuta Hiyo Partition Yenye OS Ya Awali, Basi Hao Virus Wametoka Kwenye Software Zake)
Ila Kwa Experience Yang Basic Software Kama VLC Na MS Office Hazihitajigi Requirement Nyingi.
Tatizo La Software Ambazo Hazipo Intergrated Na Motherboard Components Mfano: GPU Kama Games, Linaanziaga Na Tarehe Kuwa Wrong
Cha Kufanya:
Tupigie Picha Ikionyesha Hiyo PC Error Unayoipata Unapofanya Installation Ya Hizo Software
Regards
Mtwara Smart
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya mda mwingine huwa inaweza zima after 24 second. Vipi hamna program ya kuhack iyo system clock ili iyo processocer iwe compatibletatizo linasababishwa na oveclocking ya cpu
1.cpu ina speed kubwa kuliko the processing bridges, hasa bridge ya kaskazini
2.pia processor inazalisha joto kubwa sana, japo hapa si lazima ifike 30 mins ndo ijizime inajizima randomly and suddenly
kipendele namba moja ndo chakuzingatia kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa MkuuWakijaribu kuinstall inaonesha error na kwa sasa sipo nayo karibu ila nkisafiri nitatuma picha mkuu.shukran ase