hapo kama unasema umetumia battery mbili na bado tatizo lipo
kulingana na maelekezo kwamba hata pasipo na battery bado inaonesha 255
then hapo tatizo linaweza kuwa system yako unayotumia, ili kujiridhisha rejea tatizo lako lilianza lini je ni kabla ya kuweka hiyo windows lilikuwepo au baada ya kuweka windows
kama tatizo siyo system bhas inaweza kuwa hardware, ambapo kwenye motherboard kuna kitu kinaitwa SIO chip (super input output chip) hii inahusika sana na kuwasiliana na battery la computer, hii ndio inayocontrol battery percentages, ss panaweza kuwa na shida hapo kati kati
ila hiyo ni hatua ya mwisho kabisa na ni rare sana kutokea
rudia kufuatilia haya kwanza kabla hujawaza hayo ya SIO
-run pc katika safe mode
-update windows complete
-run linux os kwenye mashine yako
-badirisha battery zaid ya hizo
fanya hayo kisha tupe mrejesho tuone tunasaidiaje
Sent using
Jamii Forums mobile app